Mabibi na mabwana awamu ya tano imepita na sasa kazi inaendelea katika awamu ya sita chini ya Rais Samia.
Kwamba tupo awamu ya sita itakuwa kutojitendea haki mno kutoyaangazia kabisa madhara ya...
Bendera ya CCM haianguki na hatoigusa mchanga, kabla haijafika chini mwengine anaikamata na kazi inaendelea.
Wapinzani jifunzeni kukata tamaa maana hampo hata kwenye stage za kiushindani ,kama...
Salaam Wakuu,
Leo tarehe 16/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea.
Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri kesi ya Freeman Mbowe na wenzake Nov 15,2021
Ungana nami...
Pamoja na kuwa inshu ya shaidi kuingia na note book Kizimbani ijumaa wiki iliyopita Jaji alihaidi kuwa mahakama itaifanyia maamuzi Jumatatu hii. Yani ataanzia na objection ya kina kibatala...
Mnapoambiwa kuna watu na kuna viatu muwe mnaelewa, Huyu Mwamba Mbowe ni Mtu mzito hasa , sasa utajuaje uzito wa mtu hasa pale anapoingia mahali fulani?
Fuatilia video hii halafu sikiliza kwa...
Hakuna chama chochote cha siasa hapa nchini ambacho Fikra za mwenyekiti wake zinaweza kupingwa ama kupuuzwa.
Walau kwa mbali CCM wanaweza kum-challenge mwenyekiti wao kwenye vikao, tuliona kijana...
Wakuu,
Tusameheane tu nimekulia nyumba ambayo baba, Mama, Bibi na Babu wote kwa ujumla na rejareja ni CCM.
Ukweli mchungu CCM HAIJADHAMIRIA kutuletea maendeleo ya kweli watu wa kusini...
Wanabodi,
Nchi za Uingereza, Ufaransa na Ujerumani zilipata maafa makubwa sana baada ya vita vikuu vya pili vya dunia. Katika kipindi hicho ambacho Umoja wa Mataifa uliundwa, mpango wa kuzisaidia...
Aliyevaa koti ni Azizi Hamid Mahmoud, mtoto wa Jaji Mkuu Mstaafu Hamid Mahmoud Hamid ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC)
Huyu Azizi ambaye ni Mwanasheria, ndiye mshauri wa...
Nauona upotoshaji mkubwa sana unaoenezwa mitandaoni na mitaani kuwa ndugu Mbowe amebambikiziwa kesi kwa sababu ya mambo ya kisiasa. Mi nadhani kama kweli ingekuwa hivyo basi alikuwa tishio awamu...
Hii wizara iwe responsible kwenye mambo ya utafutaji (exploration), uzalishaji (production), usafishaji (refining), usambazaji (distribution), uuzaji (marketing), kuingizaji kutoka nje ya nchi...
Katika uchambuzi wa ripoti za CAG za mwaka 2019/20, WAJIBU imeainisha maeneo yenye viashiria vya rushwa, udanganyifu na ubadhirifu wa fedha za umma. Kiasi ambacho aidha hakikukusanywa au...
January Makamba: Hakuna uhaba wa mafuta nchini. Hakuna sababu ya kuwa na taharuki. Utaratibu wa kuingiza mafuta unahakikisha kwamba mahitaji yapo wakati wote. Serikali inaendelea kuchukua hatua...
Jenerali Ulimwengu ambaye ni kada mkongwe sana ndani ya CCM na mpigania Uhuru amesema Kiongozi anayezuia raia kutumia uhuru wa kujieleza hafai kuhudumu katika ofisi ya Umma hata kwa dakika moja...
Tangu awamu ya pili iingie madarakani nchi hii imekuwa na changamoto mbalimbali za umeme kiasi kwamba umeme umekuwa kama anasa vile kama bia na sigara.
Yani kila siku nchi yetu inafanya juhudi...
Mimi kama Wakili mkongwe ndani na nje ya nchi kwakweli sijawahi kushudia kesi yenye vituko na mikamganyiko mingi kama hii inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe na wenzeke.
Yaani...
Aman iwe nanyi wapendwa
Naomba kujua kwanini maalim seif akifukuzwa uanachama wa chama na hayat mwalimu julius nyerere?
Je alikosa kitu gan aisee?
Wajuz naomba mshushe nondo za jufa mtu ili...
Kutokana na wakazi wa Ubungo, Kimara na Mbezi kuipiga chini CCM katika uchaguzi uliopita, sasa inaonekana Mhe. Rais ametoa maelekezo kwa Sumatra kuondoa magari yote kwenye route ya Mawasiliano -...
Kutoka katika mahojiano yake na gazeti la JAMHURI: "Unaambiwa kiongozi huyu anabaka ofisini, lakini hadi anashitaki fulani amenifanya hivi au vile ili nipate kitu fulani, na kuna vitu vinajulikana...
Alipokuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda alihakikisha akina mama hawapotezi haki zao.
Aliwatetea akina mama kwa kila namna hasa waliotelekezwa na kunyanyaswa na waume zao...