Salaam,
Declaration of Interest.
Hili ni bandiko kuhusu hypothetical situation tuu na sio any real situation, lunazungumzia a hypothetical being not a real being na halimlengi mtu yoyote specific...
Naleta uzi huu baada ya kuona mwelekeo wa kuvipa majina kiholela vitu muhimu, mali ya Watanzania wote. Aghalabu majina ya wanasiasa ndiyo tu yanayotumika. Tena wanasiasa wawili au watatu tu...
Leo mtanzania analia lia na shida ya Umeme leo Mtanzania analialia na shida ya maji.
Tuna ukanda wa bahari kwa zaidi ya kilomita 700
Tuna maziwa Makuu ya Afrika na tuna mito inayotiririsha maji...
Nchi iko gizani, hakuna maji na mbaya zaidi hata mikoa ambayo inazalisha umeme jenereta na wenyewe kuna mgao!
Mafuta tuliambiwa last week kuwa reserve iliyopo ni ya kutufikisha siku 14 tu. Raha...
Mara kwa Mara umeandikiwa barua na Msajili ujieleze kutokana na baadhi ya matamko yako kwa niaba ya chama. Umekuwa ukijibu barua zao,je mrejesho huwa unakuwa nini baada ya kujieleza...
Wafuasi wa CHADEMA wanaofika katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi kufuatilia kesi ya Mwenyekiti wao Freeman Mbowe na wenzake watatu wamebuni utaratibu wa kuandaa na...
Imezoeleka kusikia hotuba za baba wa Taifa wakati wa kumbukumbu ya kifo chake, tarehe 14/10 ya kila mwaka na wala siyo vinginevyo.
Kwa kweli unaposikia hotuba za Mwalimu, huwa hazichuji kabisa na...
UKISIKIA URITHI NDO HUU
Tarehe 14/11/2021 kulikuwa na uchaguzi wa mzunguko wa pili wa Meya wa Prizren, ambao ni mji mkuu wa kihistoria wa nchi ya Kosovo. Katika uchaguzi huo wagombea wawili...
Wanabodi, niko hapa jijini Arusha, kuwaletea live, kinachoendelea, kwenye mkutano wa kimataifa wa ITAC
ITAC is a brainchild of WAJIBU designed for people to meet and discuss trends on...
Nafuatilia hotuba mbalimbali za viongozi wastaafu kuelekea miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika.
Nimefurahishwa na hii ya Nyerere anayomzungumzia mchagga mmoja aliyempa mzungu tanzanite na yeye...
Kishindo sekta ya afya nchini Tanzania
Kishindo sekta ya Afya Kanda ya Ziwa
Fuatilia matangazo mubashara
Ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani Jijini...
Waziri wa Maji alifanya kikao usiku na DAWASA, kwenye kikao chake amesema kusiwepo na upendeleo wa mgao wa maji.
Amesema pia kuwepo na bei elekezi ya wanaouza maji binafsi.
Hadi hapa waziri...
Kwanza nichukuwe fursa hii kukukaribisha - KARIBU SANA
Pili, nikuombe utusaidie haya yafuatayo:-
(a) Jumuiya za chama
Hizi zianzishe miradi ya kiuchumi ili ziweze kuwa na nguvu za kiuchumi kwa...
Leo katika taarifa ya habari ya Channel Ten nimemsikia Rais mtarajiwa wa awamu ya tano Ngoyai Lowassa akisema kwamba Serikali yake itaangalia jinsi ya kuuvunja mkataba wa bandari ya Wachina...
Na Siku zote Mwanasiasa makini na mjanja hupenda sana kuwateua watu anaowaona ama ni Tishio Kwake au wanaitaka Nafasi yake kwa Udi na Uvumba ili awamalize vizuri Kisiasa kwa kuwapigisha 'Shoti'...
Mzee wetu Waziri Mkuu Mstaafu Joseph Sinde Warioba amesema kulazimisha watu wakuite wewe kuwa ni mheshimiwa mbunge, mheshimiwa waziri, mheshimiwa diwani huko ni kuweka matabaka kwenye jamii ya...
Kwa sababu wakati mfumo wa vyama vingi vya siasa ukianza rasmi 1992 CCM ilibahatika kurithi mali zote ilizozimiliki wakati wa mfumo wa chama kimoja ambazo kimsingi zilikuwa ni mali za watanzania...
Hali si shwari, kuna kila dalili sasa tuendako ni kubaya, hii hali ya umeme dakika 5 on, masaa 8 - 12 off haikuzoeleka kwa miaka sita iliyopita, mbona hakuna kiongozi anajitokeza kulizungumzia...
Nauliza tu hasa kwa wale wahenga Pascal Mayalla, Mrangi na Mmawia.
Hata mwaka ule tukienda Mutukula kumfurusha Nduli Amin Nyerere alikuwa anapigilia sare za mgambo.
Siku hizi mgambo...
Picha: Prof. Mkumbo
Waziri wa Viwanda na Biashara, Profesa Kitila Mkumbo amesema suala la viwanda 100 kila mkoa siyo mpango wake na halipo kwenye Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Hata hivyo...