Uhamishwaji na upangwaji wa machinga unapaswa kutizamwa upya kuna vitu havipo sawa

DAVSON

Member
Sep 27, 2012
46
27
Kwa maoni yangu operations za kuondoa machinga zimepitiliza japo msingi wake wake ulikuwa mzuri tu kupanga miji visuri.

Hakuna haja ya kuondoa machinga wote mji mzima iliapaswa kuishia maeneno ya katikati tu ya mji. Kwa mfano kwa mwanza sioni ulazima wa kuondoa wamachinga hafi maeneo ya nyegezi ambako ni nje ya mji kabisa hakuna sababu za msingi.

Nadhana operation hii haikupangwa vizuri itaua uchumi wa miji mingo tu kwani wafanya biashara wadowadogo ni wengi sana na wengi hawawezi kumudu gharama za kupanga na kulipia pango matharani mtu anamtaji wa laki tatu tu wakati kodi ya pango la biashara ni karibu milioni moja kwa mwaka.

Rais wetu na viongozi wanapaswa kuritafakari upya swala hili kwani kuna maeneo wangewaacha tu au wangeenda kwa awamu tu hadi maenoe yote yakakamilika sio lqzima iwe mwqka mmoja kila kitu kiwe kimekamilika
 
Back
Top Bottom