Bunge la bajeti lina manufaa gani kwa Tanzania?

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
18,657
22,254
Miaka mingi iliyopita Bunge la bajeti lilikuwa linapanga mapato na matumizi ya serikali kuu, ni kweli hata mwaka huu lilipanga hivyo lakini tofauti na huko nyuma hivi sasa pesa za matumizi ya pesa hayatolewi na serikali kuu bali yanatolewa kwenye pesa za Rais!

Swali, pesa zinazotengwa na Bunge la bajeti zinatumika nchi gani?
 
Halina Faida Yoyote RAIS NDIO MTOA FEDHA
 
Bunge la bajeti kwa Tanzania maana yake ni...mkusanyiko wa mazuzu yanayolipana posho kwa kujadili yasiyotekelezwa.
 
Bunge lote ni fake , wabunge hawana umuhimu wowote!

Kama watu 300+ wanapitisha mambo ya hovyo kama tozo jambo linalopelekea Mhe. Kipazasauti, wao kusema ya kuwa anashangaa bunge sheria wanazozipitisha! Elewa ya kuwa bunge liwe la bajeti au vikao vya kawaida ni upuuzi, uhalibifu wa fedha za nchi hii.

Ni wa kupuuzia kwa ujumla wake!
 
Back
Top Bottom