Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Bashiru ajitambulisha Zanzibar. Rais Mwinyi amtaka akawaletee wananchi maendeleo

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,854
141,792
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Bashiru amejitambulisha Zanzibar na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi amemtaka akautendee haki uteuzi wake kwa kuwaletea maendeleo wananchi.

Maendeleo hayana vyama!

Hii habari inatosha kutoa ujumbe kwamba maisha Tanzania yana songa mbele. Achaneni na uvumi wa kipuuzi wa Lissu. Lissu kaamua kuwa dalali wa kuombea watu kuumwa nawa chanjo ya corona, kutoka kushindwa kudalalia ushoga Tanzania.. Eti eti eti eti eti! chanjo ina nguvu kuliko kumtegemea Mungu.

Amelaniwa yule amtegemeaye mwanadamu na' vitu'.
 
Katibu mkuu Kiongozi balozi Bashiru amejitambulisha Zanzibar na Rais wa Zanzibar Dr Hussein Mwinyi amemtaka akautendee haki uteuzi wake kwa kuwaletea maendeleo wananchi.

Source Clouds tv.

Maendeleo hayana vyama!

Amejitambulisha.... Haya mambo ya Bongo mbona yapo kinyumenyume sana!! Most of the time huwa sielewi protocol zetu zikoje!!?
 
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Bashiru amejitambulisha Zanzibar na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi amemtaka akautendee haki uteuzi wake kwa kuwaletea maendeleo wananchi.
Naomba kueleweshwa huu ubalozi amepewaje, alishawahi kuiwakilisha nch mahali popote kama balozi wa Tz?
 
Hii tabia ya viongozi wa bara kwenda kujitambulisha Zanzibar mbona imeota mizizi, kwani Katibu Mkuu kiongozi naye ni wa muungano au ni namna ya kupiga per diem? kule nako kuna Katibu Mkuu kiongozi pia lakini wa bara anaenda Zanzibar kujitambulisha sijui kitu gani.
 
Mwanasiasa kuwa katibu mkuu kiongozi ni suala la muda. Atatumbuliwa soon
 
Back
Top Bottom