Kwa wanachoaminishwa raia huku mtaani ni zaidi ya kansa kwa CCM yetu

Suzy Elias

JF-Expert Member
Nov 9, 2021
1,067
6,193
"Magufuli kafa kwa hiyo hali imerejea kama kawaida.Kwani maji mnayaona tena?"

"Magufuli kafa umeme mmeona haupo tena.Kwani Kipindi cha Magufuli umeme ulikuwa unakatika hivi?"

"Magufuli kafa wazurulaji wameanza tena.Kwani mliwahi kumuona Magufuli akizurula kama huyu?"

CCM tujitafakri sana kwayo hiyo imani wanayopeana raia hawa wakawaida ni sumu kali mno kwa chaguzi zijazo.

Mfano hili la umeme na maji ndilo hasa linaendelea kuwa sumu kali huku mtaani.

Tugutuke,2025 si mbali.
 
Fidel Castro"history will absolve me"
 
Sgang wanataka Ku justify ukanjanja wao
 
Kwani kuna mwaka CCM imewahi kushinda chaguzi bila dhulma!!
Hivyo relax tu uchaguzi mtashinda iwe kwa polisi au kwa jeshi!!
 
"Magufuli kafa kwa hiyo hali imerejea kama kawaida.Kwani maji mnayaona tena?"

"Magufuli kafa umeme mmeona haupo tena.Kwani Kipindi cha Magufuli umeme ulikuwa unakatika hivi?"

"Magufuli kafa wazurulaji wameanza tena.Kwani mliwahi kumuona Magufuli akizurula kama huyu?"

CCM tujitafakri sana kwayo hiyo imani wanayopeana raia hawa wakawaida ni sumu kali mno kwa chaguzi zijazo.

Mfano hili la umeme na maji ndilo hasa linaendelea kuwa sumu kali huku mtaani.

Tugutuke,2025 si mbali.
Kwani Magufuli aliwahi kutegemea chaguzi kuwepo kwenye madaraka; au pengine ni njia yako ya kuwakumbusha hao 'wazururaji' wasisahau kusgughulikia njia hiyo ili na wao waendelee kuwepo kwenye madaraka!
 
Ni kansa kwako tu, sie ccm hatutegemei hivyo vijikaratasi vya kura kushinda uchaguzi.
 
CCM haijawahi kutegemea kupendwa na wananchi au kupigiwa kura na wananchi.

CCM ni chamà dola.
 
Back
Top Bottom