Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

By Special Correspondent ON 22 October 1959, the founding father of our nation, then a young African leader, Mwalimu Julius Nyerere made a commitment on behalf of his people, who had not yet...
0 Reactions
0 Replies
821 Views
Habari ndio kama mnavyoisoma, huyu alishakuwa mbunge huko kusini kwa miaka isiyo na idadi , alishakuwa Waziri wa mambo ya ndani ya nchi , akahujumiwa kwenye kura zao za maoni huko CCM, ni mtu...
9 Reactions
99 Replies
7K Views
Rais Samia sikupangii ila inapaswa kumuwajibisha Msemaji mkuu wa serikali na Felchesim Mramba ambae sasa ni kamishna wa umeme na nishati Tanesco. Kwanini uwawajibishe Tarehe 10 mwezi huu wa 11...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Juzi nilikutana na mwanafunzi wangu ambaye kwa Sasa ni Mhe. Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania. Tulijadili mambo tofauti Ila Moja ya kilichomfurahisha ni namna alivyoaminishwa ni vigumu kwake kuwa...
11 Reactions
21 Replies
3K Views
Katibu mkuu wa wizara ya afya Prof. Makubi amesema kama taifa tunakaribia kupata chanjo yetu ya Corona. Prof Makubi amesema wanasayansi wazalendo hawajalala katika utafiti na wako mbioni...
25 Reactions
158 Replies
12K Views
Ndugu zangu kuna wakati nilikuwa naongea na mwalimu wangu wa it akaniambia ili taifa liendelee linahitaji sana kutunza siri ili liweze kupiga hatua. Maana adui zako wakijua unafanya mambo mazuri...
2 Reactions
2 Replies
736 Views
Taarifa za awali zinaonyesha kwamba Mzalendo aliyechukua Jukumu la kumfungulia kesi ya Matumizi mabaya ya Madaraka Paulo Makonda kwa niaba ya WANANCHI WOTE , anaitwa SAED KUBENEA , ambaye ni...
15 Reactions
28 Replies
3K Views
Kama ambavyo wadau mbalimbali wamekuwa wakisema mara kadhaa, Mkakati wa Taifa kuhusu uzalishaji wa umeme ulikuwa:- Yaani, malengo hadi kufikia June 2020, tulitakiwa tuwe tumezalisha 4,915 MW...
78 Reactions
239 Replies
19K Views
Nasema hivo kwa sababu zifatazo: Kwanza mara tu baada ya Rais Samia kuingia alifanya mabadiliko bandarini akidaiwa kuwa Kakoko ni fisadi na akawekwa chini ya uchunguzi ambao mpaka leo...
51 Reactions
139 Replies
10K Views
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Prof. Riziki Shemdoe amesema uhamisho wa watumishi wa Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa utafanyika mara nne kwa mwaka...
5 Reactions
20 Replies
6K Views
Waziri siku ya Jumatatu ulitoa tamko na kutuahidi watanzania kuwa baada ya siku mbili utakuja na suluhu ya tatizo la umeme na ukame unaoikabili nchi yetu kwa sasa. Waziri leo ni Jumamosi lakini...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
BAADHI YA TUHUMA ZINAZODAIWA KUMPELEKEA DR. AYUBU RYOBA KUJIUZULU Yeye binafsi hana tuhuma za moja kwa moja, anawajibika kwa matumizi mabaya ya ofisi yaliyofanywa na wasaidizi wake. Wasaidizi hao...
26 Reactions
193 Replies
20K Views
WAPI ALIPO RAIS WETU? Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Chadema kimeitaka serikali ya nchi hiyo kujitokeza na kueleza alipo rais John Magufuli na hali magufuli na yuko katika hali gani...
10 Reactions
219 Replies
28K Views
Hili jambo kuna watu wanalielewa vizuri sana na wanaweza kusaidia jamii kujua ukweli ila Watanzania tumekuwa waoga na hivyo wenye kujua wamechagua kukaa kimya. Upotoshaji unapata nafasi kwasababu...
13 Reactions
16 Replies
2K Views
Nchi nyingi zilizoendelea duniani zote zilipitia katika mfumo wa mapinduzi ya kilimo kwanza kabla ya viwanda. Katika karne ya 18 huko uingereza na marekani mapinduzi ya kilimo ndio yaliyoleta...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Wanabodi, Leo ndio leo, asemaye kesho muongo. Leo ndio siku ya mwisho ya deadline ya PUSU ya Barrick kwa Acacia, PUSU ni "Put Up or Shut Up", yaani kubali ufe, kataa ufe!. Kati ya vifo vyote vya...
10 Reactions
79 Replies
8K Views
Nawapenda ndugu zangu wahaya wa Bukoba , wana akili sana! Wanasema hii kadhia ya makelele ya kutaka mkoa wa Chato, kumaliza udhia, mkoa wa Geita uitwe mkoa wa Chato, kesi kwisha!
9 Reactions
40 Replies
5K Views
Baada ya kusikiliza na kusoma hoja za viongozi wanaotetea na kuunga mkono ujenzi wa bandari ya bagamoyo kuwa ujenzi huo una maslahi na faida kwa watanzania naona ni wakati muafaka viongozi hao...
16 Reactions
68 Replies
5K Views
Wana JF Kama ulikuwa hujui watu waliokuwa wanaaminika kwa misimamo dhabiti ni watu wa kigoma, hawa jamaa huko nyuma walikuwa vyuma sana kupinga uthalimu wowote ule uliokuwa unafanywa na...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Mwanzoni (wakati Magufuli akiwa bado hai) ilikuwa kama tetesi lakini sasa kila kitu kiko wazi kuwa Chato imejipanga kuhakikisha inakuwa mkoa, tena mkoa mkuu na imara kwa gharama za kuimega Kagera...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…