Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,314
- 24,177
Serikali lazima sasa itambue kuwa kna Bodi ilizoziunda ni kero na mzigo tu kwa Taifa.
Kuna NEMC, Bodi za Mabonde siujui ya mito Ruvu, Rufiji, Bodi la Ziwa Tanganyika, Bodi la Ziwa Victoria, Bodi ya Kaskazini. Ma Bodi mengi tu ya Wizara hasa ya Maji. Yoote ni hasara tupu.
Hawafanyi kazi yoyote ila kula hela ya Watanzania kwa vikao visivyo na maana.
Hawasimamii hayo mabonde na sijui wanawajibika vipi ambapo sasa tunaona uhalifu mkubwa wa kuvuta Maji toka mabondeni bila uratibu wa aina yoyote.
Ukame unaoonekana umewaumbua, maana mara tu baada ya wanasiasa kutembelea na kukagua kingo za mito, maji yameongezeka kina, sasa tunajiuliza wanahitajika kwa kazi gani?
Mabodi haya yavunjwe na ziwe idara ndani ya Wizara ya Maji.