Hii mikataba ya haraka haraka Wizara ya Nishati inatokana na fedha nyingi zilizoko Benki Kuu

troiker

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
1,427
2,262
Tuna akiba kubwa sana ya fedha za kigeni nchini ,badala ya pesa hiyo kulisaidia taifa kujikwamua kiuchumi wajanja wanabuni projects kuzikamua na sisi tunapiga makofi,

Mara matengenezo ,mara ukame ,mara software ,mara umeme wa jua nakadhalika ,bado kwenye gas ,hakika mpaka kilindo kiishe ili Serikali ianze kuendeshwa kama gari bovu .

Maendeleo hayana chama
 
Back
Top Bottom