Injinia Stella Manyanya angefaa sana pale Nishati na January Makamba angefaa sana pale Uwekezaji

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,777
141,649
Najua January Makamba amekuwepo kamati ya Nishati pale bungeni.

Stella Manyanya ni miongoni mwa wazalendo 5 walioizima Richmond na kupelekea PM Lowassa kujiuzulu.
Alikuwa na akina Albert Mtangi, Lucas Selelii, Dr Harrison Mwakyembe na mzee Shelukindo ambao wote hawapo bungeni kwa sasa.

January Makamba angetosha sana pale wizara ya Uwekezaji zama hizi tunazofungua Uchumi kutokana na " Connections" zake.

Mungu wa mbinguni awabariki!
 
Manyanya Huyu Huyu Na Ujanjaujanja
Basi Wasingempoteza Seleli Kwenye Siasa
 
Back
Top Bottom