Ushauri: BAVICHA waandaliwe semina ya kuwaondoa mkwamo mbaya wa kisiasa uliowakumba

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
10,213
22,278
Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.

Bila kupoteza muda niende kwenye mada. Binafsi nimeona kuna haja ya vijana wenzetu wa CHADEMA kuandaliwa semina ya dharura ili kuwaondoa na huu mkwamo mbaya wa kisiasa uliowakumba. Kwa muda mrefu sasa vijana wa CHADEMA wamekosa muelekeo wa wapi pa kwenda na nini cha kusimamia. Hawajui washike lipi. Imefikia hatua mtu anayejiita Kigogo kawa mshauri wa BAVICHA katika mwelekeo wa kuwavuruga. Kwa kweli vijana wanahitaji msaada wa dharura.

Je hili tatizo lilianzia wapi? Tatizo la hawa vijana kukosa mwelekeo lilianzia toka siku walipoamua kumkabidhi akili zao mwenyekiti wa kudumu Sultani Mbowe. Toka hiyo siku wamekuwa wakifuata fikra zote za mwenyekiti. Pengine hawakujua kwamba Mbowe ni binadamu hawezi kudumu milele kwahiyo ilipaswa na wao watumie akili zao badala ya kumkabidhi Mbowe azitumie kwa niaba yao. Kwa sasa tatizo ni kubwa baada ya Mbowe kuwa gerezani kama mahabusu kwa muda mrefu. Kwa huu muda ambao tunasubiri Mbowe amalize kesi yake na kurudi mtaani na akili alizokabidhiwa na vijana nimeona bora vijana wapate semina ya dharura.

Mwanachama maarufu ndani ya CCM Komredi Lemutuz atafaa sana kutoa semina hiyo kwa kushirikiana na manguli wengine wa siasa kama ndugu Polepole. CCM wachukulie ni jambo la kizalendo ili kuweka sawa mzani wa demokrasia. Ni jambo la kusikitisha kuona chama pinzani kinakufa kirahisi. Uwepo wao unachangamsha.
 
Hali_ya_Mwananchi_na_utitili_wa_tozo_#ChangeTanzania.jpg
 
Pumbavu kabisa, pumba tupu umeandika hivi Polepole kilaza atamshauri nani pale Chadema???Fikiria mara mbili siku Polisi watagoma kutumika vibaya kwa ajili ya matumbo yenu na familia zenu ndipo mtakapogundua madhara ya siasa chafu hizi mnazoziratibu.
 
Hivi kati ya UVCCM na BAVICHA ni nani aliyekwama? Maana pamoja na BAVICHA kubanwa na serikali kila kona ili wasifanye siasa lakini tunawaona wakifurukuta mara kongamano la katiba, mara waongee na vyombo vya habari mara wahamasishane kwenda mahakamani, mara wahudhurie misa kumuombea kiongozi wao pamoja na kukutana na vikwazo vya kila aina. Lakini UVCCM ni kama haipo kabisa, zaidi ya kusubiria mtu aikosoe serikali ndipo na wao watoe tamko.
 
Pumbavu kabisa, pumba tupu umeandika hivi Polepole kilaza atamshauri nani pale Chadema???Fikiria mara mbili siku Polisi watagoma kutumika vibaya kwa ajili ya matumbo yenu na familia zenu ndipo mtakapogundua madhara ya siasa chafu hizi mnazoziratibu.
Punguza hasira. Ukipata semina ya Lemutuz featuring Polepole utapunguza matusi.
 
Acha ujinga wewe!!! nani alikudanganya nina hasira!? Lemutuz huyu huyu lemutuz aliyetelekeza watoto wake Marekani!? 😳😳😳

Back
Top Bottom