Mnada wa korosho wasitishwa baada ya kukosekana mnunuzi

Kinuju

JF-Expert Member
Mar 20, 2021
2,390
5,310
Gazeti la Nipashe la leo limeripoti kwa masikitiko makubwa kuwa mnada wa korosho umesitishwa baada ya kampuni za wanunuzi kukosekana! .

Hii inatokea huku Nape Nnauye na Zito Kabwe waliojipambanua kama watetezi wa wakulima wa korosho na wakapiga kelele sana miaka yote mitano ya Serikali ya awamu ya tano wakiwa kimya kabisa kana kwamba hawajui kinachowatokea wakulima wa korosho mwaka huu.

Je, wakulima wa korosho watetewe na nani?

Nguvu ya Nape, Zitto, Membe kulisemea zao la korosho imeenda wapi?

20211101_103442.jpg
 
Korosho tunaweza itumia yote kwenye soko la ndani kuboresha lishe ya watu hasa watoto na kuondoa udumavu.......lakini sababu bongolala hatuwezi kufikiri kwa kina ndo unaona midemko yote hii kwenye zao la korosho. Haya wapeni wahindi wailangue kwa bei chee wakauzie mabeberu nyie mbaki na udumavu wenu.............​
 
Ingekuwa bei rahisi ungeona inauzwa kama karanga.
 
Gazeti la Nipashe la leo limeripoti kwa masikitiko makubwa kuwa mnada wa korosho umesitishwa baada ya kampuni za wanunuzi kukosekana! .

Hii inatokea huku Nape Nnauye na Zito Kabwe waliojipambanua kama watetezi wa wakulima wa korosho na wakapiga kelele sana miaka yote mitano ya Serikali ya awamu ya tano wakiwa kimya kabisa kana kwamba hawajui kinachowatokea wakulima wa korosho mwaka huu.

Je, wakulima wa korosho watetewe na nani?

Nguvu ya Nape, Zitto, Membe kulisemea zao la korosho imeenda wapi?

View attachment 1994504Mbwembwe zote pamoja na
Mbwembwe zote pamoja na kuondoa vikwazo na tozo kadhaa lakini wapi; mlimshambulia sana JPM alipoamua kununua ili wananchi wapate chochote, sasa hawa watawala wana la kusema kutokana na aibu hii?

Wanasiasa wabaya sana kuhusika kwenye ustawi wa biashara
 
Ingekuwa bei rahisi ungeona inauzwa kama karanga.
Kuiuza bei kubwa ni moja ya udemkaji ninaousema, je kuna justification yoyote ya kuiuza bei kubwa ikiwa miti inazalisha korosho kila mwaka na mostly haihitaji uangalizi mkubwa? ni swala la serikali kuja na sera tu itakayoweka unafuu wa pembejeo hasa madawa ya kupulizia mikorosho kwa ajili ya kuua wadudu na kuzuia fungus na processing ya korosho iwe efficient kuweza kukidhi mahitaji ya soko kwa wakati....
 
Gazeti la Nipashe la leo limeripoti kwa masikitiko makubwa kuwa mnada wa korosho umesitishwa baada ya kampuni za wanunuzi kukosekana! .

Hii inatokea huku Nape Nnauye na Zito Kabwe waliojipambanua kama watetezi wa wakulima wa korosho na wakapiga kelele sana miaka yote mitano ya Serikali ya awamu ya tano wakiwa kimya kabisa kana kwamba hawajui kinachowatokea wakulima wa korosho mwaka huu.

Je, wakulima wa korosho watetewe na nani?

Nguvu ya Nape, Zitto, Membe kulisemea zao la korosho imeenda wapi?

View attachment 1994504
Huku mijini kilo ya Korosho iliyobanguliwa ni shs 20,000
si watangaze tu bei elekezi ya kilo ya korosho na mfanya biashara wa Ndani aruhusiwe kununua pengine kilo zisizo pungua 100 kwa pamoja (kuepusha reja reja) na kama kuna ushuru uwekwe wazi, mbona zitaisha tu.
China hutegemea soko la ndani kwa bidhaa za chakula kwa zaidi ya 90% naamini na sisi tunaweza ni kujipanga tu
 
Back
Top Bottom