Mashtaka dhidi ya Viongozi kama DCs na RCs ni ufunguo wa Mashtaka dhidi ya viongozi wa juu

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
34,359
2,000
Haya ni maono tu.
Leo hii tunashuhudia mashtaka na vifungo dhidi ya watawala ngazi ya mikoa na Wilaya.

Huu ni ufunguo wa mashtaka na vifungo dhidi ya viongozi ngazi ya juu.

Let's watch and see.

kwaherini kwa leo
WAPOLOO A.K.A WAHUNI

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Kalamu1

JF-Expert Member
Jul 7, 2018
11,901
2,000
Haya ni maono tu.

Leo hii tunashuhudia mashtaka na vifungo dhidi ya watawala ngazi ya mikoa na Wilaya.

Huu ni ufunguo wa mashtaka na vifungo dhidi ya viongozi ngazi ya juu.

let's watch and see.

kwaherini kwa leo
WAPOLOO A.K.A WAHUNI

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Mazoea ni mabaya sana.

Wewe unaona hao viongozi wote hawatakiwi kushtakiwa mbele ya sheria wanapofanya uhalifu?

Wakiua, wasishtakiwe kwa vile ni viongozi? Wakiiba wasishtakiwe, kwa vile ni viongozi?

Hii ni nchi au jalala la watu kujifanyia lolote wanalotaka, mradi tu ni viongozi?

Mada ya kipuuzi kabisa hii. CHADEMA wakishika madaraka, bado utang'ang'ania viongozi hao wasishtakiwe kwa kuwaonea tu mahasimu wao wa CCM wanaowatesa kwa sasa hivi?
 
Mc green

Member
Jun 1, 2021
23
75
Haya ni maono tu.

Leo hii tunashuhudia mashtaka na vifungo dhidi ya watawala ngazi ya mikoa na Wilaya.

Huu ni ufunguo wa mashtaka na vifungo dhidi ya viongozi ngazi ya juu.

let's watch and see.

kwaherini kwa leo
WAPOLOO A.K.A WAHUNI

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Kama Ni hivyo tunasubiri waziri Fulani aliyejipa madaraka ya kuingia mikataba ya kugenisha raslimali zetu naye akitoka madarakani anayemlinda tunamburuza kortini tuweke kumbu kumbu sawa ili mzani ubalance, jino kea jino, upanga kwa upanga
 
Bujibuji Simba Nyanaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
63,872
2,000
Haya ni maono tu.

Leo hii tunashuhudia mashtaka na vifungo dhidi ya watawala ngazi ya mikoa na Wilaya.

Huu ni ufunguo wa mashtaka na vifungo dhidi ya viongozi ngazi ya juu.

lets watch and see.

kwaherini kwa leo
WAPOLOO A.K.A WAHUNI

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Wajuu wepi? Je wajua kuwa katiba ya 1977 inamkunga Rais asishitakiwe?
 
Bujibuji Simba Nyanaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
63,872
2,000
Hivi Marehemu hastakiwi? Ni muhimu hata kama amekufa, ahukumiwe ili kumsaidia Mungu kazi! Unafanya unyama, unapoteza watu wasiohatia n.k halafu unakufa haraka!!
Kesi ifunguliwe ili haki itendeke kwa kuanzia na mwendazake!
Halafu unakufa huku umevimbisha mbichwa m'bayaaaaaaa
 
Kingtox

JF-Expert Member
Sep 13, 2021
210
500
Ikitoka kwa RCs na DCs tunahamia kwa wenyekiti wa vijiji na vitongoji
Niamini mimi
Hapa kesi tu
 
Townchild

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
7,578
2,000
Haya ni maono tu.
Leo hii tunashuhudia mashtaka na vifungo dhidi ya watawala ngazi ya mikoa na Wilaya.
Huu ni ufunguo wa mashtaka na vifungo dhidi ya viongozi ngazi ya juu.
lets watch and see.

kwaherini kwa leo
#WAPOLOO A.K.A WAHUNI

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Afadhali kama na wewe umeacha kuwaimbia mapambio ya kuwa chochea wafanye chochote watakalo liwe BAYA au zuri, acha wafungwe kabisa au na wewe ni mshirika wao🤔.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom