Ukweli ni kwamba Rais Samia hakuwa pamoja na Hayati Magufuli

Suzy Elias

JF-Expert Member
Nov 9, 2021
376
1,000
Unafiki siyo tusi wala neno baya.

Samia pamoja na kuwa alikuwa msaidizi wa Hayati JPM lakini kwa matendo yake ni wazi aliishi na marehemu kinafiki.

Huwezi kuyapuuza ya msaidizi wako endapo ulikuwa naye sawa katika utendaji na kosa kubwa alilolifanya ni kutokujiuzulu ili angalau historia ingekuwa upande wake.

Lakini kwa namna anavyofanya sasa kuyapongeza ya JPM kinafiki si haki hata kidogo.

Yeye afanye yake na asijifiche katika uswahili bwana, tumechoka na hadithi zake.
 
Dan Zwangendaba

JF-Expert Member
Apr 25, 2014
3,146
2,000
Mwendazake alikuwa msaidizi wa Kikwete, tunaomba utuambie kwa alivyokuwa akimponda hadharani na kubadilisha kila kitu, je Mwendazake alikuwa pamoja na Kikwete au alikuwa mnafiki? Watu mjue kwamba ubaya wowote unaoufanya kwa watu, na wewe utafanyiwa ubaya huohuo, hata kwa vizazi vyako. Maisha ya urais ya Mwendazake yalionyesha unafiki mkubwa aliokuwa nao wakati wa Kikwete.
 
Ushindi victory

JF-Expert Member
Dec 11, 2018
778
1,000
Kama ulkuwa humjui Kigogo2014, na mvujisha taharifa wa serkali ya magu, basi ujue kuwa ndy huyo huyo bibi mvimba macho au muuwaji wa chini chini.

huyo maza ni hatar sana, japo weng mnamchukulia simple, sabbu ya sura yke ya upole&ukimya.

huyo ni zaid ya. Kwa matukio ya chini chini na unafiki

huyo bibi yenu mtakuja kumjua vzr baada ya yey kuachia nchi, na urais kushikwa na mtu mwngne akianza kufukua mafile yake, kma ilivyo tamadun ya hii nchi, kwa wanasiasa kuchafuana na kulipiana visasi.
 
Unknown2

JF-Expert Member
Oct 16, 2016
2,223
2,000
Unafiki siyo tusi wala neno baya.

Samia pamoja na kuwa alikuwa msaidizi wa Hayati JPM lakini kwa matendo yake ni wazi aliishi na marehemu kinafiki.

Huwezi kuyapuuza ya msaidizi wako endapo ulikuwa naye sawa katika utendaji na kosa kubwa alilolifanya ni kutokujiuzulu ili angalau historia ingekuwa upande wake.

Lakini kwa namna anavyofanya sasa kuyapongeza ya JPM kinafiki si haki hata kidogo.

Yeye afanye yake na asijifiche katika uswahili bwana, tumechoka na hadithi zake.
Unafanania na anayejiita Veronica France
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom