Mzee Butiku; Uchaguzi wetu ni hovyo, umekuwa wa vita, rushwa na haki kupotea

mshale21

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
2,049
4,904
"Watanzania wanisamehe kutumia neno hilo, wakati wa uchaguzi inakuwa ovyo, na vijana waliyopo wasahihishe, uchaguzi wetu ni ovyo, umekuwa wa vita, wa rushwa, haki imepotea pale, na ndio maana imezaa tabia ya kutokuaminiana nje ya vyama na ndani ya vyama"

ITV dk 45

UVCCM Mnasemaje hapo??
 
Anaongea huku amejibana kwenye CCM atoke aingie upinzani kama ni mpigania haki wa kweli
 
"Watanzania wanisamehe kutumia neno hilo, wakati wa uchaguzi inakuwa ovyo, na vijana waliyopo wasahihishe, uchaguzi wetu ni ovyo, umekuwa wa vita, wa rushwa, haki imepotea pale, na ndio maana imezaa tabia ya kutokuaminiana nje ya vyama na ndani ya vyama"

ITV dk 45

UVCCM Mnasemaje hapo??
CCM wenzake ndiyo wametufikisha hapa tulipo sababu ya tamaa ya madaraka
 
"Watanzania wanisamehe kutumia neno hilo, wakati wa uchaguzi inakuwa ovyo, na vijana waliyopo wasahihishe, uchaguzi wetu ni ovyo, umekuwa wa vita, wa rushwa, haki imepotea pale, na ndio maana imezaa tabia ya kutokuaminiana nje ya vyama na ndani ya vyama"

ITV dk 45

UVCCM Mnasemaje hapo??

Tatizo la wazee hawa jiulize amefanya nini kurekebisha nini?

Kumbuka alipo angali ni CCM kindaki ndaki. Chaguzi za 2019 na 2020 hakuziona? Kuna hata alichosema?
 
Mimi wajibu wangu ni kutupia ushahidi wa alichokisema Mzee wetu.
 
Tatizo la wazee hawa jiulize amefanya nini kurekebisha nini?

Kumbuka alipo angali ni CCM kindaki ndaki. Chaguzi za 2019 na 2020 hakuziona? Kuna hata alichosema?
Me naamin wana CCM wengi hawafurahishwi na vitendo vya viongozi wao , shida inakuja hivi, tumbo litashibaje??
 
Nakubaliana na wewe.

Ni wazi pia kuwa watanzania wote hawafurahishwi na kupinga nyendo za akina Kingai, Jumanne, Mahita, Goodluck na Msemwa kuhakikiwa kwa kuleta tu registers zote za polisi zinazoweza kusaidia hilo kama alivyofanya Ling'wenya.
 
"Watanzania wanisamehe kutumia neno hilo, wakati wa uchaguzi inakuwa ovyo, na vijana waliyopo wasahihishe, uchaguzi wetu ni ovyo, umekuwa wa vita, wa rushwa, haki imepotea pale, na ndio maana imezaa tabia ya kutokuaminiana nje ya vyama na ndani ya vyama"

ITV dk 45

UVCCM Mnasemaje hapo??
Kauli hii haitawafurahisha UVCCM na kwa namna wasivyokuwa na uwezo wa kujibu hoja unaweza ukajikuta wanamkandika Mzee wa watu mitusi.

Ni kweli watanzania wote tunajua ule uchaguzi ulikuwa ni zaidi ya HOVYO, moja na vitu ambavyo marehemu Mwendazake alifeli vibaya sana ni kwenye sekta ya Siasa, akapandikiza chuki, ubambikiziaji wa kesi zisizo na dhamana, akavuruga uchaguzi, mauaji, utesaji, na udhalilishaji mkumbwa mno wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu.

Hongera Mzee wetu, ingawa kauli yako imechelewa ila tunashukuru sana, ujumbe umeshawafikia - wataumia lakini waume meno maana ukweli huuma mno.
 
"Watanzania wanisamehe kutumia neno hilo, wakati wa uchaguzi inakuwa ovyo, na vijana waliyopo wasahihishe, uchaguzi wetu ni ovyo, umekuwa wa vita, wa rushwa, haki imepotea pale, na ndio maana imezaa tabia ya kutokuaminiana nje ya vyama na ndani ya vyama"

ITV dk 45

UVCCM Mnasemaje hapo??
Mboma hakusema haya kabla ya March 17, 2021?
 
Back
Top Bottom