Tunaifungua nchi kiuchumi sawa; nani aliifunga?

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
10,521
12,988
Habari za majukumu wadau,

Kuna kongamano linaendelea huko Zanzibar, Mgeni rasmi ni Dr. Husein Ally Mwinyi. Kongamano hilo ni kuazimisha miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika lakini linafanyika Zanzibar maswali ni mengi. Mada mbalimbali zimetolewa na wana kongamano.

Ujumbe wa kongamano hilo ni " TUNAIFUNGUA NCHI YETU KIUCHUMI" Swali.

Nani huyo alifunga nchi kiuchumi, yupo wapi na kwann aliamua kuifunga nchi kiuchumi?

Wakati nchi inafungwa hawa kina mwinyi walikuwa wapi na dadake SSH?

Hapa tunabadilishiwa chupa tu mvinyo ni uleule.
 
Sio kila kinachofunguliwa ni lazima kiwe kimefungwa kwanza. Ni neno pana ukilichukulia kijuu juu tu hutaielewa concept nzima.
 
Habari za majukumu wadau,

Kuna kongamano linaendelea huko Zanzibar, Mgeni rasmi ni Dr. Husein Ally Mwinyi. Kongamano hilo ni kuazimisha miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika lakini linafanyika Zanzibar maswali ni mengi. Mada mbalimbali zimetolewa na wana kongamano.

Ujumbe wa kongamano hilo ni " TUNAIFUNGUA NCHI YETU KIUCHUMI" Swali.

Nani huyo alifunga nchi kiuchumi, yupo wapi na kwann aliamua kuifunga nchi kiuchumi?

Wakati nchi inafungwa hawa kina mwinyi walikuwa wapi na dadake SSH?

Hapa tunabadilishiwa chupa tu mvinyo ni uleule.
Kwani aliyeifunga humjui?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mtu anajinadi kufungua uchumi wakati alikuwepo awamu iliopita with almost the same position😅
 
Habari za majukumu wadau,

Kuna kongamano linaendelea huko Zanzibar, Mgeni rasmi ni Dr. Husein Ally Mwinyi. Kongamano hilo ni kuazimisha miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika lakini linafanyika Zanzibar maswali ni mengi. Mada mbalimbali zimetolewa na wana kongamano.

Ujumbe wa kongamano hilo ni " TUNAIFUNGUA NCHI YETU KIUCHUMI" Swali.

Nani huyo alifunga nchi kiuchumi, yupo wapi na kwann aliamua kuifunga nchi kiuchumi?

Wakati nchi inafungwa hawa kina mwinyi walikuwa wapi na dadake SSH?

Hapa tunabadilishiwa chupa tu mvinyo ni uleule.
Wanasiasa wana maneno sana. Nchi ilifungwa kiuchumi na mfumo sambamba na utawala pamoja na chama kilicho tawala tokea uhuru
 
Mtu anajinadi kufungua uchumi wakati alikuwepo awamu iliopita with almost the same position😅
Hakuwa na sauti nadhani unakumbuka JPM alivyokuwa akisema hashauriki na hashauriwi. Hiyo ni sababu tosha ya kuamini kuwa anachokiamini Mama ni tofauti na kile alichokiamini bosi wake.
 
Back
Top Bottom