Rais awamu ya Sita alichaguliwa na nani?

Kwanini huyo mama analazimisha kuwa ni Rais wa awamu ya sita ilhali haupo uchaguzi uliofanyika tofauti na yeye kuwa Rais wa katiba?

Kwa nini analazimisha awe Rais wa awamu ya sita?

Kuna nini nyuma ya lazimisho hilo?!
kama ulikuwa unamtambua jpm, basi na huyu mama alichaguliwa, hata kama wewe haukumchagua. kwenye picha ya jpm alikuwa anapigiwa pia huyu. au huelewi hilo?
 
Kwanini huyo mama analazimisha kuwa ni Rais wa awamu ya sita ilhali haupo uchaguzi uliofanyika tofauti na yeye kuwa Rais wa katiba?

Kwa nini analazimisha awe Rais wa awamu ya sita?

Kuna nini nyuma ya lazimisho hilo?!

Samia Suluhu Hassan ni Rais halali wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania

Sasa sijui wewe unaiongelea katiba ipi
 
Lazima utamani kuweka muwamuzi anaweza kukupa favour ukicheza rafu kwa team pinzani.
 
Samia Suluhu Hassan ni Rais halali wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania

Sasa sijui wewe unaiongelea katiba ipi
Mrithi wa awamu ya tano na si km yeye anavyolazimisha ni awamu ya sita
 
Kwanini huyo mama analazimisha kuwa ni Rais wa awamu ya sita ilhali haupo uchaguzi uliofanyika tofauti na yeye kuwa Rais wa katiba?
Huu ujinga tumepigana nao Sana lkn bado unaendelea kutamalaki.

Naandika tena kwa faida ya wajinga wengine.

Awamu ni kichwa Cha rais na legacy yake. Awamu siyo vipindi vya urais Kama ilivyobainishwa na katiba.

Ndiyo maana Zanzibar iko awamu ya 8.

Wajinga wote mmeelewa Sasa??
 
Kwanini huyo mama analazimisha kuwa ni Rais wa awamu ya sita ilhali haupo uchaguzi uliofanyika tofauti na yeye kuwa Rais wa katiba?

Kwa nini analazimisha awe Rais wa awamu ya sita?

Kuna nini nyuma ya lazimisho hilo?!

Acha kusema "huyo mama" unamkosea adabu bibie.. muheshimu aise, ndiyo rais wako ujuwe.
 
Kwanini huyo mama analazimisha kuwa ni Rais wa awamu ya sita ilhali haupo uchaguzi uliofanyika tofauti na yeye kuwa Rais wa katiba?

Kwa nini analazimisha awe Rais wa awamu ya sita?

Kuna nini nyuma ya lazimisho hilo?!
Yupo sana miaka hadi amalize miaka yake 9 itakua ni awamu ya ngapi io
 
Tumuombee uzima..

Mfano ndo amefariki, Mpango anakiwa wa awamu ya 7.
 
Back
Top Bottom