CHADEMA Digital yaingia Kasulu, Kigoma

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,619
218,041
Ndio kama mnavyosoma hapo juu, Style inayotumika sasa inaitwa ZIGZAGA, huyu kule huyu huku, ni mwendo wa mashambulizi bila kukoma.

Kwa siku mbili mfululizo Mwenyekiti wa Bawacha Mh Sharrifa Suleyman ameweka kambi Kasulu Kigoma kwa ajili ya Usajili wa Kisasa wa Chadema digital, HAKUNA KIJIJI KITAKACHOACHWA.

*KIGOMA_JIMBO_LA_KaSULU_MJINI*_...%C2%A0lis%C3%A4%C3%A4.jpg
 
Faida ya kusajili wanachama hivi ni nini.? Kuwa na stats au ni njama ya ushindi.?
 
Faida ya kusajili wanachama hivi ni nini.? Kuwa na stats au ni njama ya ushindi.?
Kuna mvuta bangi mmoja last week alisema wanao million 8 sasa kama wanajua idadi wanasajiri ili iweje

USSR
 
Faida ya kusajili wanachama hivi ni nini.? Kuwa na stats au ni njama ya ushindi.?
CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE

Nyerere alitoa kauli hii akimaanisha kwamba chama cha siasa ni lazima kitembee kusaka wanachama , maana huo ndio uhai wake .
 
Umesahau hata kuoga leo kutwa mzima upo humu unahaha tu na ya CHADEMA.
Shombo tupu..

Una safari ndefu sana kwenye siasa maaana bado huna uelewa wowote, naweza nkakaa hata mwaka mzima nkitaka , we kafanya kazi ukishakua kiakili utarudi apa
 
Kwa swali ulilouliza wee unavuta mbegu na wala si majani kama yeye!! Yaani NIDA wanavyotusajili wewe unafikiri hatujulikani idadi? Na sensa ni ya nini? Tuna NIDA, kazini/shuleni napo tunapewa vitambulisho... Swali lako ni la kijing.

Back
Top Bottom