Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,262
- 18,716
Interchange ya ajabu sana hii.
1. Kutoka kimara kwenda buguruni kuna wakati foleni inavuka ubungo maji
2.pamoja na ukubwa lakini hakuna sehemu za kupita wapita kwa miguu.
3. Kuna nafasi kubwa imezungushiwa fence na haina matumizi.
4. Yale matuta ya ubungo maji ninkwa sababu aliye jenga interchange hakuzingatia wapita kwa miguu.
Imepunguza foleni ila imeongeza baadhi ya kero ambazo hazikutakiwa kuwepo kwa uwekezaji tuliofanya.
Picha ni interchange moja huko kwa wanaojielewa.
Angalia vizuri walivyo zingatia watumiaji wote wa hii interchange including na wapita wa miguu..
Tanroad inahitaji new brain.