Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nikiri niliwahi kupoteza Imani na Mnyika kipindi Dr. Slaa anatimkia CCM Kwa mgongo WA kuachana na siasa. Nilidhani kijana huyu atasaliti dhamira na Imani ya Watanzania dhidi yake lakini niombe...
11 Reactions
20 Replies
2K Views
Siku zote Mwanafunzi anapokwenda darasani ufanya Kwa mujibu wa maelekezo ya walimu na wasimamizi wake, ufanya Kwa mujibu wa Sheria na kanuni za chuo na ufanya Kwa kuzingatia principles za vyuo...
3 Reactions
3 Replies
940 Views
Niliaidi nikifika Chato ntashuka kwenda kumwomba Radhi mwendazake kwa kumlaumu enzi za utawala wake pale alipo mweka ndani Kabendera,nimefanya hivyo ila nimeshindwa kupiga PC walau niwaoneeshe...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Mhe. Rais umeeleza madarasa yajengwe Ila waliokwenda kujenga wamekosea strategy, uwezi kujenga madarasa mawili kwenye shule zenye madarasa ya kutosha mjini ukaenda kujenga madarasa mawili kijijini...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika enzi hizi ambazo hata kina Msukuma wanapenda kujiita ni Madaktari wa Falsafa, na hili la mawaziri Jafo na Biteko kutunukiwa na UDOM, Udaktari wa Falsafa, kuna neno. Prof Mark Mwandosya...
32 Reactions
82 Replies
8K Views
Wadau wiki hii nimesoma mabandiko mengi ya ndugu zangu wa ufipa .,naona hasira zao wameamua kuzimalizia kwa ndugu zitto.,nilianza kumsoma na kumsikiliza tundu lissu alivyokurupuka Kama kawaida...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Wakati mmoja, Rais Samia alielezea kusikitishwa kwake kutokana na makosa yaliyofanywa na awamu za nyuma, lakini lawama kurundikwa awamu yake, awamu ya 6. Lawama hizo aliziita ni jumba bovu. Jumba...
3 Reactions
3 Replies
639 Views
Chanzo ya Pfizer-BionTech na ile ya Moderna zimetuia teknolojia ya mRNA (kutumia RNA ya kirusi cha corona kutengeneza chanjo) Chanjo ya Janssen (J&J) imetumia teknolojia ya kupandikiza RNA ya...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Tokea tarehe 16 hadi 18 jana huko Dodoma kulikuwa na vikao vikuu vya CCM tena vikiongozwa na Rais wa Nchi ambaye ni kiongozi wa hicho chama. Ajabu tofauti na vikao vya huko nyuma vya CCM hivi vya...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Taarifa za siri za CIA za miaka ya 1953 zinaonyesha kwamba shirika hilo liliamini kwamba baada ya Wakoloni Waingereza kuondoka Tanganyika, mtu aliyepaswa kukabidhiwa nchi alikuwa ni kiongozi wa...
17 Reactions
218 Replies
35K Views
Afya ya Rais ni muhimu. Kazi ya Urais ni ngumu, kiongozi wa nchi halali isipokuwa masaa mchahe sana, wakati mwingine analala akiwa safarini, wakati wote kiongozi anapokea taarifa mpya kutoka...
4 Reactions
17 Replies
906 Views
Kutokana na matumizi mabaya ya vyombo vya ulinzi na usalama na chama cha mapinduzi.. kuna haja ya kupeleka mswada Bungeni ili Kamati za ulinzi na usalama ziundwe na vyombo vya ulinzi na usalama...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari mbaya sana Mtaani kila Kona Rais anasemwa vibaya na mambo yanaenda Kombo, Bei ya Vyakula kama Mahindi na Mchele vimepanda maradufu Ndani ya Awamu ya Samia. Mafuta ya Kula Bei imeongezeka...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Siku polepole anajiunga CCM hakuwa hata na shati la kijani wala hakujua atalipata wapi Nape akaenda stoo akachukua shati lake la zamani kabla hajaota kitambi akampa. Bashiru yeye uanachama wake...
3 Reactions
6 Replies
969 Views
Mnaombeza Prof Ndalichako amesoma PhD University of Alberta Canada The University of Alberta, kilianzishwa 1908 ni chuo cha 135 duniani kwa ubora. Prof ana bachelor ya Hesabu (Methamatics)...
18 Reactions
90 Replies
7K Views
Nani waliompiga lisu risasi? Azory Gwanda na Ben Saanane wako wapi? Walio haribu uchaguzi wa 2020 wanaachwa hvhv? Tuanzie hapa kwanza.
7 Reactions
16 Replies
1K Views
Nilishazungumza hapa wakati ule, Ogopa sana kitu kinaitwa muda, Binadamu Tunapita ila Muda utabaki milele ukisogea, siku hazisimami, saa hazigandi, sekunde zinatembea na wakati nao unajongea...
69 Reactions
164 Replies
10K Views
Magufuli alipokataa ujinga huu, wa nchi za kiAfrika kucheza siasa za wazungu za corona, nadhani hawakumwelewa wenzake kwenye corridors of power. Ni hivi: mzungu hutumia kila fursa yoyote, liwe...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kumekuwa na tuhuma nyingi sana za jeshi la polisi kuua kutesa na kupiga watuhumiwa. Lakini hatujawahi kusikia Igp au waziri Simbachawene akichukua hatua za kuwafuta kazi hawa askari wanaokiuka...
2 Reactions
3 Replies
807 Views
Tumeona jinsi ambavyo kumekuwa na Utitiri wa Taasisi binafsi kujitafutia pesa kupitia Taasisi za Serikali. Sana sana TIE na TAMISEMI wakihusishwa. Na tunapoelekea kipindi hiki cha Sikukuu na...
1 Reactions
8 Replies
958 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…