Nadhani Mbowe siyo gaidi

Anna Nkya

Member
Oct 21, 2021
46
150
So nimekuwa nikifollow up case ya Mbowe kupitia Twitter. Nasoma ushahidi uliotolewa hadi sasa.

Ninaona kuna element za kwamba Mbowe alikuwa anapanga mipango kadhaa ya kisiasa. Mfano kuna witness mmoja aliyekuwa mpiga picha wa Sabaya, alieleza jinsi Mbowe alivyomtafuta ili ajue moves za Sabaya. To me, such movement ni ya kawaida kwa wanasiasa, wote wanafanya. Lazima utafute taarifa za wapinzani wako.

No matter what Mbowe did, mimi binafsi siamini kam Mbowe was planning kulipua vituo vya mafuta au kufanya actions za terrorism kiasi cha kuua watu au kuleta hofu kiasi hicho. Sina ushahidi wa maneno yangu, lakini siamini tu.

Lakini jambo lingine ambalo pia siamini, ni lile linalosemwa na baadhi ya watu kwamba eti Rais Samia anataka kumfunga Mbowe. HILO SIAMINI HATA KIDOGO.

WHY?
1. Sioni sababu ya Rais kumfunga Mbowe miaka 15. Kwa sababu ile kesi nimeambiwa adhabu yake haipungui miaka 15 jela. Sioni sababu ya Samia kufanya hivyo. Mbowe sio mtu tishio hivyo kwa utawala, huku nje kuna watu wanaweza kuwa tishio kabisa na wanadunda.

Tusichukulie poa influence ya Tundu Lissu hata kama yuko abroad, that man got influence kwa wapinzani anaweza kusambaza sumu kubwa tu mtandaoni. But alichokifanya Rais Samia ni kumfutia kesi zote za uchochezi, alikuwa na kesi 5 zote zimefutwa. That tells a lot, ina maanisha Samia yuko tayari Lissu arudi.

Huku nje kuna Mnyika, Zitto Kabwe na wanasiasa wengine. Kina Shekhe Ponda, Jenerali Ulimwengu na wengine wanaendelea kuwasha moto wa Katiba, KWA NINI WASIKAMATWE?

Sioni sababu hata moja Samia atake kumfunga Mbowe.

2. Kesi ya Mbowe ina hasara kuliko faida kwa Rais anayetengeneza jina lake. Huyu Rais anataka watu wamuamini, hawezi kucheza iyo karata ya kuendelea na kesi au kuja kumfunga Mbowe. HAWEZI KUFANYA KOSA HILO.

So, sielewi kwa nini kesi hii iliyofunguliwa na Awamu iliyopita bado ipo. I just beleive kuna sababu za msingi sana zinazofanya iendelee na Rais Samia aipishe kabisa.

Mtandaoni kuna watu wanasema Rais hakupewa taarifa za kweli and all that, labda ni kweli labda kuna mengine.

Ninachoomba hii iishe salama. WE NEED PEACE AND UNITY OF OUR NATION NOW THAN EVER.
 
Kiturilo

JF-Expert Member
Sep 27, 2021
679
1,000
Hivi nyie nyumbu gang shule mlienda kusomea ujinga? Ina maana hamjui kwamba mahakama ni muhimili unaojitegemea?
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
53,615
2,000
Huyu bibi ni katili sn kuliko unavyodhani wewe endelea kuota ndoto za mchana
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
16,451
2,000
Lengo la hii kesi ni kuondoa attention kutokea kwenye madai ya katiba mpya.

Katika wote uliowataja Mbowe ndiye aliyekuwa anaweka msukumo zaidi.

Zingatia kuwa attention ya katiba mpya imehamishiwa kwenye kesi. Vipi kama attention ya kesi ingekuwa kwenye katiba mpya?

Moto wa katiba mpya Mama hauwezi. Kwake ni heri apambane na wa kesi.
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
16,451
2,000
Hivi nyie nyumbu gang shule mlienda kusomea ujinga? Ina maana hamjui kwamba mahakama ni muhimili unaojitegemea?

Kwani kukataza mikutano ya siasa ni mhimili upi wenye mamlaka nao?

Mbona kweli hamnazo?

Kwani ni lazima kujianika wazi hata kama uwezo wa kufikiria unagomba kiasi hicho?
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
37,255
2,000
MoGJh.jpg
 
Ng'wanamangilingili

JF-Expert Member
Aug 22, 2015
3,696
2,000
So nimekuwa nikifollow up case ya Mbowe kupitia Twitter. Nasoma ushahidi uliotolewa hadi sasa.

Ninaona kuna element za kwamba Mbowe alikuwa anapanga mipango kadhaa ya kisiasa. Mfano kuna witness mmoja aliyekuwa mpiga picha wa Sabaya, alieleza jinsi Mbowe alivyomtafuta ili ajue moves za Sabaya. To me, such movement ni ya kawaida kwa wanasiasa, wote wanafanya. Lazima utafute taarifa za wapinzani wako.

No matter what Mbowe did, mimi binafsi siamini kam Mbowe was planning kulipua vituo vya mafuta au kufanya actions za terrorism kiasi cha kuua watu au kuleta hofu kiasi hicho. Sina ushahidi wa maneno yangu, lakini siamini tu.

Lakini jambo lingine ambalo pia siamini, ni lile linalosemwa na baadhi ya watu kwamba eti Rais Samia anataka kumfunga Mbowe. HILO SIAMINI HATA KIDOGO.

WHY?:
1. Sioni sababu ya Rais kumfunga Mbowe miaka 15. Kwa sababu ile kesi nimeambiwa adhabu yake haipungui miaka 15 jela. Sioni sababu ya Samia kufanya hivyo. Mbowe sio mtu tishio hivyo kwa utawala, huku nje kuna watu wanaweza kuwa tishio kabisa na wanadunda.
Tusichukulie poa influence ya Tundu Lissu hata kama yuko abroad, that man got influence kwa wapinzani anaweza kusambaza sumu kubwa tu mtandaoni. But alichokifanya Rais Samia ni kumfutia kesi zote za uchochezi, alikuwa na kesi 5 zote zimefutwa. That tells a lot, ina maanisha Samia yuko tayari Lissu arudi.

Huku nje kuna Mnyika, Zitto Kabwe na wanasiasa wengine. Kina Shekhe Ponda, Jenerali Ulimwengu na wengine wanaendelea kuwasha moto wa Katiba, KWA NINI WASIKAMATWE?

Sioni sababu hata moja Samia atake kumfunga Mbowe.

2. Kesi ya Mbowe ina hasara kuliko faida kwa Rais anayetengeneza jina lake. Huyu Rais anataka watu wamuamini, hawezi kucheza iyo karata ya kuendelea na kesi au kuja kumfunga Mbowe. HAWEZI KUFANYA KOSA HILO.

So, sielewi kwa nini kesi hii iliyofunguliwa na Awamu iliyopita bado ipo. I just beleive kuna sababu za msingi sana zinazofanya iendelee na Rais Samia aipishe kabisa.
Mtandaoni kuna watu wanasema Rais hakupewa taarifa za kweli and all that, labda ni kweli labda kuna mengine.

Ninachoomba hii iishe salama. WE NEED PEACE AND UNITY OF OUR NATION NOW THAN EVER.
Kwani Samia ndio anaendesha kesi na kutoa maamuzi. Nikafikiri ni independent body?

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Mtoto wa Shule

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
8,126

Nahisi kama unambembelezea kiaina Mbowe.
 
Kiturilo

JF-Expert Member
Sep 27, 2021
679
1,000
Nyumbu mama yako aliyezaa toto linaloingiliwa kinyume cha maumbile kama wewe, ndiyo maana hata avatar yako umeweka mtu anayeingiliwa. Shame. Hata mods nawashangaa kuiacha avatar ya mtu anayeingiliwa.
Mke wa Amsterdam nenda ukafue chupi za mme wako aje ale kundu vizuri
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom