Jelavic
Senior Member
- Dec 28, 2016
- 180
- 380
Kwa jinsi kesi inavyoenda na hukumu ndogo ndogo zinavotupiliwa mbali ni wazi tayari kuna malekezo ya wapi kesi ifike na mpaka ifike huko basi muda utakuwa umsogea sana rais atakuwa ameisha onesha muelekeo wake anatupeleka wapi.
Wakati SSH anaingia na wapinzani wakaanza makongamano ya katiba miaka mitano ya JPM walikuwa wamekaa kimya kama hatuitaji katiba, wakadhani SSH ni dhaifu kwaiyo wakataka waanze harakati zao mapema hata bado rais SSH hajaeleweka kwa watanzania, ni mwanasiasa KICHAA tu ndio anaweza kukubali kukosa publicity kwasabab inayoweza kucheleweshwa.
Mbowe alikuwa anajua rais anaitaji muda ili aeleweke kwa watanzania lakin hakuwa fair akataka ammalize kuanzia point ya mwanzo, kwaiyo kilicho mkuta ni timing tu, yeye alitaka ahamishe mjadala wa kitaifa iwe ni katiba tu na SSH amemuwahi kifupi ni sehem ya mchezo katika politics.
Kwanini hawakumkata Mnyika au wengine, jibu ni rahisi tu mnyika hana nguvu kama Mbowe ndio maana hata baada ya Mbowe kuwa jela hatujaona mnyika akiendeleza pale mwenyekiti wake ameishia.
Kwahiyo Mbowe atatupisha kidogo baadae atarudi kwenye uwanja wa siasa.