Nape Nnauye: Kumbe kulikuwa na Orodha ya Wahuni chamani? Natamani sana kuwajua Wahuni Waliopona

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
51,115
2,000
Katibu mwenezi wa CCM mstaafu na mbunge wa Mtama Nape Nnauye ameshangaa taarifa iliyotolewa na mrithi wake chamani ambaye kwa sasa ni mbunge wa viti maalumu komredi Polepole kwamba Wahuni ndani ya chama hawajaisha.

Nape amesema anatamani kuwajua Wahuni Waliopona.

Sabato njema.
 
Townchild

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
7,578

Kama ni wahuni tu hata siye tusookuwa chamani tunakutajieni, tuanze na mzee wa bakora na mwenzie, njo usajili teaM19,walienea Hadi mtaa wa kijani, slow &co.
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
21,672
2,000
Katibu mwenezi wa CCM mstaafu na mbunge wa Mtama Nape Nnauye ameshangaa taarifa iliyotolewa na mrithi wake chamani ambaye kwa sasa ni mbunge wa viti maalumu komredi Polepole kwamba Wahuni ndani ya chama hawajaisha.

Nape amesema anatamani kuwajua Wahuni Waliopona.

Sabato njema.
Makatibu waenezi wastaafu wanapoparuana. Sisi tushike jembr tukalime.
 
Kiby

JF-Expert Member
Nov 16, 2009
6,415
2,000
Katibu mwenezi wa CCM mstaafu na mbunge wa Mtama Nape Nnauye ameshangaa taarifa iliyotolewa na mrithi wake chamani ambaye kwa sasa ni mbunge wa viti maalumu komredi Polepole kwamba Wahuni ndani ya chama hawajaisha.

Nape amesema anatamani kuwajua Wahuni Waliopona.

Sabato njema.
Orodha ile niliwahi kuichungulia ila duh.
1 Abdul Rahman Kinana
2 Nape Mnauye
3 January Makamba
4 Kingunge Ngumbale
5 Sofia Simba
6 Immanuel Nchimbi
7 Mwigulu Mchemba
Na kadha wa kadha.
List ilikuwa na majina zaidi ya 80 na baadhi yao ni marais wastaafu bara na visiwani.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom