Nani wapo nyuma ya Polepole? CCM wanamlinda?

Hari ya kawaida, inabidi tukue kisiasa kama kaka mkubwa Kenya, Raisi na Makamu Hawaivi lakini Raisi hawezi kutumia vyombo vya dola kumgandamiza.

Mifumo ya Serikali inafanya kazi, hiyo ndio demokrasiwa wabongo hii kitu haituingii akilintu tumezoea mafimbo na kutwangwa kutokea juu. Yaani Kauli ya Raisi ndio sheria na hakuna wakupingana nae!!!
 
Wandugu,kwa kauli na maneno ya hovyo anayotamka huyu Polepole inaonesha hayupo pamoja na CCM wala viongozi wa serikali.

Anaongea kwa kujiamini sana bila kujali chochote.

NI UTASHI WAKE AU KUNA KUNDI KUBWA LA WATU WENYE NGUVU NYUMA YAKE?

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Kivipi?kwani mtu akisimamia mawazo yake lazima awe nyuma ya mtu

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Mission is to devide the political party into segments!! Ukanda utahusika hapa, propaganda itakua why Ukanda wa Mwendazake wengi wametupwa nje, na zaidi mbele ya safari wataunda chama kitakachopgia ama kitakachokuja kudevide votes tha kijani kama mbinu ya kuuadhibu haya yote yaliyotokea baada ya march 2021..ukimstad Pole pole ni kama analalamikia mamlaka juu ya falsafa za mwendazake kutupwa nje baada ya mwezi tajwa. Kundi ni kubwa na Niseme kuwa kundi litatikisa chama mana fikilia voters base yao inatoka wapi. Mda ni mwalimu mzuri tusubili!!
 
Si unaona manyang'au yanatamba chama kina wenyewe...

IMG-20211211-WA0035.jpg
 
Mission is to devide the political party into segments!! Ukanda utahusika hapa, propaganda itakua why Ukanda wa Mwendazake wengi wametupwa nje, na zaidi mbele ya safari wataunda chama kitakachopgia ama kitakachokuja kudevide votes tha kijani kama mbinu ya kuuadhibu haya yote yaliyotokea baada ya march 2021..ukimstad Pole pole ni kama analalamikia mamlaka juu ya falsafa za mwendazake kutupwa nje baada ya mwezi tajwa. Kundi ni kubwa na Niseme kuwa kundi litatikisa chama mana fikilia voters base yao inatoka wapi. Mda ni mwalimu mzuri tusubili!!
Punguza ukabila. Jina lako na fikra zako tu zinaonyesha wewe ni kundi lile la kanda ya ziwa. Hizi fikra zimeletwa na Magufuli, za kutaka kutugawa Watanzania. Mshindwe na nguvu zenu za kiza na mawazo finyu.
 
Leo mnaona ni kujiamini lakini kujiamini wakati wa magufuli ulikuwa ni kuipinga serikali siyo?
Sukuma gang

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Sijamtaja Magufuli.
Sijataja Sukima Gang.
Sjaitaja Serikali.
Mimi nimejikita kwenye hoja ya mletamada, na ndiomaana nime comment kwa mtindo wa swali ama mshangao.
Ebu turudi kwenye hoja mkuu
 
Back
Top Bottom