#COVID19 Polepole ataka kiwanda cha dawa za mimea kupambana na Corona, aomba kikafichwe Jeshini

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,446
7,817
Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, Humphrey Polepole leo Bungeni ameongelea suala la Covid na kusema wameambiwa Corona inaendelea. Polepole ametoa Rai kujenga kiwanda cha mimea dawa kulingana na Ilani ya CCM.

Polepole amesema watu watatibiwa na kupona na mimea dawa lakini Rai yake kiwanda hicho kisiwekwe Uraiani badala yake kifichwe kwenye Kambi ya Jeshi ambapo hakuna mtu anaweza kufika kwani ni Vita na wakijua zinatengenezwa dawa kupambana na Uviko watahujumu.

"Nimesikia wakubwa jana wanasema tupewe chanjo Bilioni moja tuje kudungwa hapa, nilikuwa natoa Rai tuwekeze vya kwetu, local solution for local problem" Alisema Polepole

 
La maana alilopaswa kuzungumza ni kwa Serikali kupitia JWTZ iwekeze sana kwenye research kuanzia za magonjwa, silaha na teknolojia kwa ajili ya usalama na maendeleo ya nchi yetu. Hivyo vyote vifanyike kwa usiri kwenye makambi yetu tukihusisha watalaam wa jeshi pamoja na raia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom