Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 2,101
- 2,715
Najua kuna watu watasema haya ndiyo mambo ya kumkebehi rais tusiyoyapenda.
Lakini ukweli ni kwamba,kama alivyosema jana Erythrocite hakuna mfungwa aliyesamehewa katika hii sherehe.
Kusamehe wafungwa siku ya uhuru ina maana sana. Inaonyesha mtu anaelewa uhuru maana yake nini.
Inaonyesha imani kwa wananchi,kwamba labda wanaweza kujiheshimu.
Inaonyesha kujiamini kwa viongozi,kwamba wanaweza kusamehe wafungwa wachache bila kuhatarisha amani.
Halafu mgeni wa heshima alikuwa anaitwa "Uhuru".
Kusamehewa ni zawadi. Na kama matu ana dakika kwamba atapata zawadi,hiyo siyo zawadi tena. Hata hivyo tunamuomba rais afuate ngano wa watangulizi wake. Asamehe saba mara sabini.