Rais Samia yuko hivi na kuelewa hivi kuanzia leo

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Kwa baadhi ya mambo, Mama huchukua hatua sio kwa kusukumwa na dhamira njema, bali husukmwa na nafsi ya ngoja niwaonyeshe/nimuonyeshe mimi ni nani au si anajifanya/wanajifanya wajanja ngoja sasa niwaonyeshe.

Kwa kifupi, Mama akihisi(hata kimakosa) kuwa anadharauliwa, watu wanampanda kichwani au anagombanishwa na wananchi, anajenga chuki na kisasi na utaona mtu au watu fulani wanashughulikiwa kitu ambacho sio sahihi.

Yaani kwa mama, unaweza fanya mambo ya hovyo ila kama anaamini unamuheshima, basi utabaki salama.

Halikadhalika, unawaze kuwa unafanya jambo jema ila kama atahisi unamdharau, unam-pressurize,n.k, ataagiza au atabariki ushughulikiwe.

Kwa maneno mengine, hana au amekosa standard katika utendaji wake kwa baadhi ya mambo(sio mtu wa principle).Ni mtu anaendeshwa na matukio kwa kusikiliza hiki na kile then ana-react na bahati mbaya sometimes ana-react kimakosa.

Hiki ndio kimemgharimu Kamanda wa Anga ingawa hakuwa na kosa(udhaifu wa Mama unahusika), na ndio sasa kinaanza kuwagharimu kundi la Mwendazake wanaomlinganisha na Mwendazake kwa style ya kuonyesha kuwa Mama hatoshi..

Hata hii vita anayoianzisha sasa ni baada ya kuona aliowalinda ama hawana shukurani au wanataka kumgombanisha na wananchi kuwa hayuko serious vinginevyo wasingeguswa.

Bwana yule alietangulia mbele za haki, alipenda watu wanaomlamba miguu hata kama hawafai au ni waovu; Mama yeye anataka wanaomuheshimu bila kujali matendo yao au kama wanafaa au hawafai.

Mnaweza msinielewa, ila muda utawasaidia kumuelewa
 
Exactly, anapenda watu wajinga ambao hata akivunja sheria watamuheshimu/kumuogopa wasimwambie ukweli, lakini ukimwambia ukweli anakuona adui unamdharau, na bahati mbaya kwa sababu mamlaka yote ya nchi yako kwake, basi wanatumwa kina Kingai wakushughulikie, na jaji anapandishwa cheo kwa sababu ya kutafsiri sheria kwa "maoni" yake ili ampendeze bosi wake.
 
Huyu Chakubanga ni sehemu ya wanaomuhujumu mama, ashughurikiwe haraka.

3021453_20210501_072041.jpg
 
Kwa baadhi ya mambo, Mama huchukua hatua sio kwa kusukumwa na dhamira njema, bali husukmwa na nafsi ya ngoja niwaonyeshe/nimuonyeshe mimi ni nani au si anajifanya/wanajifanya wajanja ngoja sasa niwaonyeshe.

Kwa kifupi, Mama akihisi(hata kimakosa) kuwa anadharauliwa, watu wanampanda kichwani au anagombanishwa na wananchi, anajenga chuki na kisasi na utaona mtu au watu fulani wanashughulikiwa kitu ambacho sio sahihi.

Kwa kifupi, unaweza fanya mambo ya hovyo ila kama anaamini unamuheshima, basi utabaki salama.

Halikadhalika, unaware kuwa unafanya jambo jema ila kama atahisi unamdharau, unam-pressurize,n.k, ataagiza au atabariki ushughulikiwe.

Kwa maneno mengine, hana au amekosa standard katika utendaji wake(sio mtu wa principle).

Hiki ndio kimemgharimu Kamanda wa Anga ingawa hakuwa na kosa(udhaifu wa Mama unahusika), na ndio sasa kinaanza kuwagharimu kundi la Mwendazake wanaomlinganisha na Mwendazake kwa style ya kuonyesha kuwa Mama hatoshi..

Hata hii vita anayoianzisha sasa ni baada ya kuona aliowalinda ama hawana shukurani au wanataka kumgombanisha na wananchi kuwa hayuko serious vinginevyo wasingeguswa.

Mnaweza msinielewa, ila muda utawasaidia kumuelewa
Mkuu Kishina cha Mshahara, Salary Slip, duh...!.
P
 
Mtaandika nyuzi nyingi nyie wasukuma, mungu wenu wa Chato ndiyo huyo anazidi ku rot in hell, hamna namna
 
Anafeli sana

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom