Nikipewa Karatasi ya Kusahihisha Swali la Marais waliovivaa vyema Viatu vya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere haya ndiyo Majibu yangu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,454
108,564
Mwinyi 35% ( Alifeli )

Mkapa 75% ( Alifaulu )

Kikwete 5% ( Alifeli vibaya )

Magufuli 50% ( Alifaulu )

Samia nitampima rasmi ifikapo 2025

ANGALIZO

Mtazamo wangu huu Uheshiimiwe na kama kuna unayempenda mno hapo na Amefeli halafu Umechukia tafuta Sumu ya Panya hapo ulipo Korogea Unywe ili upotee mazima.

Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere tunakukumbuka sana Baba ( Babu ) na Watanzania, Waganda, Wanyarwanda, Wasumbiji, Wazimbabwe, Waburundi Wabotswana, Wanamibia, Wakongo ( zamani Zaire ), Wanaijeria, Waghana na JamiiForums Members wenye Akili ( Great Thinkers ) wote kwa pamoja wanakukumbuka ( tunakukumbuka ) sana.

Roho yako izidi Kulala mahala pema Peponi Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ila huku nyuma sasa yale uliyoyakemea kama Rushwa, Ukabila, Mmomonyoko wa Maadili, Elimu Duni inayozidi tu Kuzalisha Mipumbavu ( Mipopoma ) mingi sasa ndiyo yameshamiri.
 
Mbona hujaweka wadhungu mzee, wanamkumbuka pia..au wamemsahau?
 
Viatu vya ujamaa na chama kimoja havikupaswa kuvaliwa na yeyote.
Mwinyi 35% ( Alifeli )

Mkapa 75% ( Alifaulu )

Kikwete 5% ( Alifeli vibaya )

Magufuli 50% ( Alifaulu )

Samia nitampima rasmi ifikapo 2025

ANGALIZO

Mtazamo wangu huu Uheshiimiwe na kama kuna unayempenda mno hapo na Amefeli halafu Umechukia tafuta Sumu ya Panya hapo ulipo Korogea Unywe ili upotee mazima.

Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere tunakukumbuka sana Baba ( Babu ) na Watanzania, Waganda, Wanyarwanda, Wasumbiji, Wazimbabwe, Waburundi Wabotswana, Wanamibia, Wakongo ( zamani Zaire ), Wanaijeria, Waghana na JamiiForums Members wenye Akili ( Great Thinkers ) wote kwa pamoja wanakukumbuka ( tunakukumbuka ) sana.

Roho yako izidi Kulala mahala pema Peponi Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ila huku nyuma sasa yale uliyoyakemea kama Rushwa, Ukabila, Mmomonyoko wa Maadili, Elimu Duni inayozidi tu Kuzalisha Mipumbavu ( Mipopoma ) mingi sasa ndiyo yameshamiri.
 
Kikwete 5% ( Alifeli vibaya Sana ) vibaya kupitiliza 😂😂😂
Huwa najiuliza mno huyu Mtu kaifanyia nini Jema Tanzania ndani na nje mpaka Watanzania wanampenda na Kumkubali wakati Kwangu Mimi GENTAMYCINE naona Tanzania tulikuwa na bahati mbaya zaidi Kuongozwa nae na sishangai ndiyo maana Kipindi chake Tanzania ilidharaulika nasi Watanzania tukadharaulika pia.

Ukweli wangu huu ukikuuma na Kuchukia mtafute Mgonjwa wa CORONA ( Covid-19 ) mwambie akuambukize kwa Makusudi Ufe upesi tu.
 
Mwinyi 35% ( Alifeli )

Mkapa 75% ( Alifaulu )

Kikwete 5% ( Alifeli vibaya )

Magufuli 50% ( Alifaulu )

Samia nitampima rasmi ifikapo 2025

ANGALIZO

Mtazamo wangu huu Uheshiimiwe na kama kuna unayempenda mno hapo na Amefeli halafu Umechukia tafuta Sumu ya Panya hapo ulipo Korogea Unywe ili upotee mazima.

Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere tunakukumbuka sana Baba ( Babu ) na Watanzania, Waganda, Wanyarwanda, Wasumbiji, Wazimbabwe, Waburundi Wabotswana, Wanamibia, Wakongo ( zamani Zaire ), Wanaijeria, Waghana na JamiiForums Members wenye Akili ( Great Thinkers ) wote kwa pamoja wanakukumbuka ( tunakukumbuka ) sana.

Roho yako izidi Kulala mahala pema Peponi Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ila huku nyuma sasa yale uliyoyakemea kama Rushwa, Ukabila, Mmomonyoko wa Maadili, Elimu Duni inayozidi tu Kuzalisha Mipumbavu ( Mipopoma ) mingi sasa ndiyo yameshamiri.
Poisonous katika ubora wako

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mambo nakubaliana nawewe popoma mkuu 1. Kuhusu mkapa 2. Uko pro Jew na pro Israel ukiacha hayo mengine yote wewe ni popoma.
 
Hakuna haja ya mtu kuvaa viatu vya mwenzake, Kila mtu avae viatu vyake.
Kwakuwa nimempa 5% ya Kufeli huyo Kipenzi chenu na Mswahili aliyeliharibu kabisa Taifa hili hasa Kimaadili na Kiuchumi au?
 
Mwinyi 35% ( Alifeli )

Mkapa 75% ( Alifaulu )

Kikwete 5% ( Alifeli vibaya )

Magufuli 50% ( Alifaulu )

Samia nitampima rasmi ifikapo 2025

ANGALIZO

Mtazamo wangu huu Uheshiimiwe na kama kuna unayempenda mno hapo na Amefeli halafu Umechukia tafuta Sumu ya Panya hapo ulipo Korogea Unywe ili upotee mazima.

Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere tunakukumbuka sana Baba ( Babu ) na Watanzania, Waganda, Wanyarwanda, Wasumbiji, Wazimbabwe, Waburundi Wabotswana, Wanamibia, Wakongo ( zamani Zaire ), Wanaijeria, Waghana na JamiiForums Members wenye Akili ( Great Thinkers ) wote kwa pamoja wanakukumbuka ( tunakukumbuka ) sana.

Roho yako izidi Kulala mahala pema Peponi Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ila huku nyuma sasa yale uliyoyakemea kama Rushwa, Ukabila, Mmomonyoko wa Maadili, Elimu Duni inayozidi tu Kuzalisha Mipumbavu ( Mipopoma ) mingi sasa ndiyo yameshamiri.
Nyerere 20% aliua sana kuzidi wote magu anasubiri ,ila magu kwa mkono wake benyo alipiga bastola yeye mwenyewe vya fake phd,kikwete nampa 70 ila hakuwa serios na kodi drug lords na hakujua tz kujenga ridhwan kuwa rais haipo haitatokea wala january (kidogo huyu karekebishwa na kuwa harassed na magu (mi chawa wake) ila aache umjini
 
Hivi hili swala la mwenda peke yake kumpiga risasi benkakolnyeri kwa mkono wake ni kweli au mastori ya town.
 
Back
Top Bottom