Kumbe Chadema ndiyo ililengwa kufanikisha Agenda za leo?? kimekuwa gumzo kuliko umuhimu wa waliohudhuria na walochokizungumza!

Rasterman

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
33,905
44,011
Ni kama vile chadema ndio alikuwa mlengwa wa kikao cha leo kinachodaiwa kuwa mkutano wa wadau wa siasa na msajili wa vyama vya siasa.

Kimantiki ni kuwa kama mtu hana umuhimu ktk mkutano au jambo fulani ni kumpotezea tu maana uwepo wake au ukosefu wake haubadilishi lengo la jambo au mkutano huo.

Kinachoonekana kwa leo Chadema ndio imeshika hoja mitandaoni kwa kutohudhuria kwake. Je chadema ndio ilikuwa imepangwa kufanikisha agenda za leo??

Je kwani kikao si mmemaliza? mmekwama wapi??

Hizo agenda zisingefanikiwa bila Chadema??

Mbona kelele nyingi?

Ni mimi rafiki wa viroboto, kunguni, kokoro, funza na nzi nikiwa dumila nalima mahindi.
 
Ni kama vile chadema ndio alikuwa mlengwa wa kikao cha leo kinachodiwa kuwa mkutano wa wadau wa siasa na msajili wa vyama vya siasa.

Kimantiki ni kuwa kama mtu hana umuhimu ktk mkutano au jambo fulani ni kumpotezea tu maana uwepo wake au ukosefu wale haubadilishi lengo la jambo au mkutano huo.

Yaani watu wamefura kwa chadema kutohudhuria. Na wanaolalamika na kutukana ni wale wale wasiokipenda Chama hiki kisiki cha mpingo. Kwani kulikuwa na agenda gani??
 
Ni kama vile chadema ndio alikuwa mlengwa wa kikao cha leo kinachodiwa kuwa mkutano wa wadau wa siasa na msajili wa vyama vya siasa.

Kimantiki ni kuwa kama mtu hana umuhimu ktk mkutano au jambo fulani ni kumpotezea tu maana uwepo wake au ukosefu wale haubadilishi lengo la jambo au mkutano huo.

Kinachoonekana kwa leo Chadema ndio imeshika hoja mitandaoni kwa kutohudhuria kwake. Je chadema ndio ilikuwa imepangwa kufanikisha agenda za leo??

Je kwani kikao si mmemaliza? mmekwama wapi??

Hizo agenda zisingefanikiwa bila Chadema??

Mbona kelele nyingi?

Ni mimi rafiki wa viroboto, kunguni, kokoro, funza na nzi nikiwa dumila nalima mahindi.
Ugaidi wa Mbowe Vs Madai ya katiba Mpya.
 
Mkuu hapo dumila mvua zinanyesha? Karibu dakawa
Ni kama vile chadema ndio alikuwa mlengwa wa kikao cha leo kinachodiwa kuwa mkutano wa wadau wa siasa na msajili wa vyama vya siasa.

Kimantiki ni kuwa kama mtu hana umuhimu ktk mkutano au jambo fulani ni kumpotezea tu maana uwepo wake au ukosefu wale haubadilishi lengo la jambo au mkutano huo.

Kinachoonekana kwa leo Chadema ndio imeshika hoja mitandaoni kwa kutohudhuria kwake. Je chadema ndio ilikuwa imepangwa kufanikisha agenda za leo??

Je kwani kikao si mmemaliza? mmekwama wapi??

Hizo agenda zisingefanikiwa bila Chadema??

Mbona kelele nyingi?

Ni mimi rafiki wa viroboto, kunguni, kokoro, funza na nzi nikiwa dumila nalima mahindi.
 
Huyu bi mdashi ni mweupe sana
Wahuni waliona kama akifanya mkutano na wapinzani watamcontrol na anaweza kufanya maamuzi ambayo ni mistake
Ndiyo maana walisitisha kukutana na wapinzani
Hanaga maamuzi ambayo yanatoka ndani yake moja kwa moja ndiyo maana hata hotuba ni fupi tu
 
Tuna rais asiyeweza kujiamulia yeye mwenyewe kwa maslahibya taifa.
 
Ni kama vile chadema ndio alikuwa mlengwa wa kikao cha leo kinachodiwa kuwa mkutano wa wadau wa siasa na msajili wa vyama vya siasa.

Kimantiki ni kuwa kama mtu hana umuhimu ktk mkutano au jambo fulani ni kumpotezea tu maana uwepo wake au ukosefu wale haubadilishi lengo la jambo au mkutano huo.

Kinachoonekana kwa leo Chadema ndio imeshika hoja mitandaoni kwa kutohudhuria kwake. Je chadema ndio ilikuwa imepangwa kufanikisha agenda za leo??

Je kwani kikao si mmemaliza? mmekwama wapi??

Hizo agenda zisingefanikiwa bila Chadema??

Mbona kelele nyingi?

Ni mimi rafiki wa viroboto, kunguni, kokoro, funza na nzi nikiwa dumila nalima mahindi.
Wewe ulitegemea lipumba azungumze kitu gani?
 
Back
Top Bottom