NTIGAHELA
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 368
- 257
Mwanzo wa jambo lolote huwa mgumu ndiyo maana waswahili husema Roma haikujengwa siku moja haijalishi tumetukanwa sana lakini Leo Tumefaniwa kuwasemea watanzaia walio wengi ACT tumepitia kwenye shimo la moto la utawala wa mwendazake lakini kwa hii hatua ni tuliyoifikia ni kubwa katika safari ya kutafuta demokrasia ya ukweli hapa Tanzania Tumefaniwa kukubaliana kuingiza vipengele vinne ikiwa ni pamoja na suala la tume huru ya uchaguzi hongereni viongozi wote mliofanikisha haya majaliano daima historia itawakumbuka.