Updates kutoka CCM

Updates kutoka CCM

Cosovo

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2018
Posts
667
Reaction score
1,821
Muda si mrefu mambo yatakuwa yameiva kule CCM ambapo mbivu na mbichi zitakuwa zinaliwa na vigogo watatu ambao ni Wabunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania

Gwajima na Polepole ni ambao wameshika usukani kwenye mitandao ya kijamii huku Slaa waliowengi hawajui anakabiliwa na tatizo gani ,huko ni mitandaoni wanaulizana Slaa ni nani na anakosa gani. Wawili hao wengine asilimia kubwa mitandaoni wanajua

Twende pamoja............
 
Which Slaa?
 
Ccm kwa kauli ya nappe si kauli nzuri hasa kwa kizazi cha Leo kisicho na ajira,nape n zero brain kabisa,hivi unafikiri kuna mtu atachagua tena chama cha wenye nacho
 
Hatujui, maana WADANGANYIKA WAMETANZWA- NIA. ZAO,
 
Back
Top Bottom