Jaji kiongozi ameyasema leo

Jaji kiongozi ameyasema leo

abulaaliyah77

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2021
Posts
1,747
Reaction score
1,158
Jisomee mwenyew
268755137_460278692131035_8085544125176642277_n.jpeg
 
Angekuwa sahihi zaidi kama angesema mahakama ya Tanzania ni kimbilio la wajinga wanaoamini kuwa eti unaweza kupata haki mahakamani hata kama una haki.

Mahakama za Tanzania ni kitengo cha Rais katika kutimiza anayoyataka.

Yeye mwenyewe alipewa cheo cha rushwa na Rais Samia baada ya kuwaambia mawakili wa Serikali wakarekebishe makosa, badala ya kuifuta kesi.

Huyu ni jaji kiongozi wa kuchongwa. Ni kinyago cha Samia.
 
Back
Top Bottom