Kwanini CCM inatumia nguvu kubwa badala ya hoja kupambana na CHADEMA?

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,881
Hakika inashangaza sana CCM chama kikongwe duniani kilichikubali mfumo wa vyama vingi duniani kinahangaika kuhakikisha kinakiua chama cha upinzani cha chadema kwa kutumia nguvu zake zote ikiwa ni pamoja na

Kuzuia mikutano ya hadhara na ya ndani ya chama cha CHADEMA.

Kutunga sheria kandamizi za vyama

Kuwakamata na kuwabambikizia kesi za uaji ugaidi na uhujumu uchumi viongozi wanachama na wafuasi wa chadema

Kuwa na tume ya chama chake ya uchaguzi

Kutumia polisi usalama wa taifa mahakama kuidhihofisha CHADEMA.

Kuzuia mijadala ya katiba mpya

Hatimae kumteka na kumbambikizia mwenyekiti wa chadema taifa kesi ya ugaidi

Je kwanini CCM ina hofu na CHADEMA?
 
Ukweli kwenye ile kesi ya ugaidi wale wote ni mateka wa Kingai na kundi lake wote walivamiwa haswa Mbowe alitekwa usiku wa manane
 
Wananchi wamewachoka kutokana nawao kushindwa kubadirisha na kuboresha hali zao,kwahiyo wanafikiri mbaya wao ni chadema ndomana ukiwasikia wakisema, wanachelewesha maendeleo,wanatuchonganisha nawananchi nawakati mwingine husema wanaichafua nchi kimataifa, pamoja nayote wananchi wamejua adui wa maendeleo yao ni ccm na hoja yao wananchi tangu uhuru niwao tu ndowanaoongoza hili taifa.
 
Ccm kamwe hawawezi kutumia hoja mbele ya cdm maana wanajua kuwa njia waliyo tumia kuingia madarakani haikubaliki.
 
Wananchi wamewachoka kutokana nawao kushindwa kubadirisha na kuboresha hali zao,kwahiyo wanafikiri mbaya wao ni chadema ndomana ukiwasikia wakisema, wanachelewesha maendeleo,wanatuchonganisha nawananchi nawakati mwingine husema wanaichafua nchi kimataifa, pamoja nayote wananchi wamejua adui wa maendeleo yao ni ccm na hoja yao wananchi tangu uhuru niwao tu ndowanaoongoza hili taifa.
Upo sahihi sana na hii tabia ya kusema cdm wanaichelewesha ccm kuwafanyia maendeleo wananchi ni lugha aliyokuja nayo jiwe .

Kwa makusudi aliibuni ili awachinganishe cdm na wananchi lkn mungu siyo John
 
Akili zao ccm wanazifahamu wao wenyewe pekee tu.Mtanzania yeyote anayejitambua hawezi kuwaelewa hawa wenzetu.Mifano rahisi ni kama wakati wanamkamata Mh.Mbowe na kumpa kesi ya ugaidi walidhani wanamdhoofisha yeye na CDM yake lakini hawafahamu the way out once or when the plan backfires,ama issue of Hon.Lissu's assasination attempt.

They don't do the home work propely,slow learners as usual always!
That is the ccm as they claim stupidly whenever addressing serious National Issues and moral Values including Human Rights and/or Dignity.

Shame upon them!
 
Ukweli kwenye ile kesi ya ugaidi wale wote ni mateka wa Kingai na kundi lake wote walivamiwa haswa Mbowe alitekwa usiku wa manane
Magaidi wabambikaji wa kesi kwa kutumia ushahidi na mashahidi wa kuchonga wanaendesha kesi ya ugaidi dhidi ya Raia wema wa Nchi hii huku watawala wakiweka msisitizo wa kufuata sheria bila shuruti.
Nchi hii kwa sasa kila kitu ni
MICHONGO/MIKAZO.
 
Chama chakavu hakina hoja mkuu zaidi ya kuwaza wizi na kutumia police-CCM vilaza kuiba kura
Huwa wamepiga suti na tai zao za mitumba wakijadiliana mbinu mpya za wizi wa uchaguzi na baadaye wanagonga mvinyo wa mtumba halafu ma-V8 mapya na kuanza kuogelea kwenye maziwa na asali tamu toka kwa wanyonge wao.
Tanzania ya Tanganyika na Zanzibar kilio chake hakitoisha kabla ccm haijapasuka kwa shibe.
Tudai Katiba ya Wananchi pasina kikomo.
 
CCM ni janga kwa taifa mkuu viongozi wanaishi maisha Kama wapo peponi uku wananchi wakiishi maisha ya hovyo Sana ,katiba mpya kudai ni jambo jema swali la kujiuliza hii tuliyo nayo tunaitumia ipasavyo?
 
Hakika inashangaza sana CCM Chama Kikongwe Duniani Kilichikubali MFUMO wa Vyama vingi Duniani Kinahangaika kuhakikisha Kinakiua CHAMA cha UPINZANI cha CHADEMA kwa kutumia NGUVU zake zote ikiwa ni pamoja na
KUZUIA Mikutano ya HADHARA na ya NDANI ya Chama cha CHADEMA
Kutunga SHERIA Kandamizi za Vyama
Kuwakamata na Kuwabambikizia KESI za UAJI UGAIDI na UHUJUMU UCHUMI viongozi Wanachama na Wafuasi wa CHADEMA
Kuwa na TUME ya Chama chake ya UCHAGUZI
Kutumia POLISI USALAMA wa TAIFA MAHAKAMA Kuidhihofisha CHADEMA
Kuzuia MIJADALA ya KATIBA MPYA
Hatimae KUMTEKA na Kumbambikizia MWENYEKITI wa CHADEMA Taifa KESI ya UGAIDI
JE kwanini CCM ina HOFU na CHADEMA?
Kwa nini Chagadema imejaa lawama tu zenye viashiria vya uchu wa madara?
 
Back
Top Bottom