johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,915
- 141,875
Katibu mkuu mstaafu wa Chadema Dr. Slaa ameitembelea Makumbusho ya taifa na kushiriki siku ya utamaduni wa kabila la Wairaki kutoka Manyara.
Dr Slaa amewataka Watanzania wakumbuke walikotoka.
Source: ITV habari
Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
Dr Slaa amewataka Watanzania wakumbuke walikotoka.
Source: ITV habari
Mungu wa mbinguni awabariki nyote!