Nimekuwa nikisikia viongozi/watawala wetu wakituambia tuache siasa, tunatumika kisiasa ama tunaleta siasa. Najiuliza swali; Hivi siasa huwa ni nini na kwa nini tusifanye siasa? Siasa ni kwa ajili ya nani ama kundi gani katika jamii wanastahili kufanya siasa na kwa nini kwa wengine ikatazwe?
Siasa ni nini? Siasa ni uadui? Siasa ni kwa ajili ya nini? Faida na hasara za siasa ni zipi duniani ama nchini?
Naomba kuelimishwa. Ukiuliza kitu kisichohitajiwa na watawala utaambiwa unauliza kisiasa. Hata hapa nitaambiwa nimeandika kisiasa ama natumwa na mabeberu.
Siasa ni mnyama, mdudu, mmea au?