Siku ya kumbukumbu ya uhuru wiki juzi mwanajeshi mmoja alikuwa anafafanua gwaride na mambo ya kijeshi.
Kuhusu saluti za mizinga alisema rais anapigiwa mizinga 21, makamu wa rais na waziri mkuu mizinga 19.
Kwa ujumla alisema hivi,
1. Rais, mfalme, malkia, Sultani (21)
2. Makamu wa Rais, Waziri Mkuu (19).
Kisha wafuatao mazishi yao yana mizinga ifuatavyo:
3. Waziri wa Ulinzi, General (17)
4. Lt. General (15)
5. Brigadier General (11)
Japo nilifurahi kuelimika lakini sikusikia Rais wa Zanzibar anapigiwa mizinga mingapi.
Mwenye jibu sahihi anisaidie nielimike

Waziri wa Ulinzi kupigiwa Mizinga?
Habari wakuu, Napenda KUULIZA ,je waziri wa ulinzi atapigiwa mizinga ? Je utaratibu wa kupiga mizinga au Risasi upoje kwa watu wanaofariki?
www.jamiiforums.com