Badala ya kuwatumia wateule wenu kuanzisha michakato na kamati feki, CCM simameni mjibu hoja za washindani wenu

MGOGOHALISI

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
1,984
2,586
Suala la katiba mpya na mikutano ya kisiasa vinazidi kuwanyima CCM usingizi. Badala ya kujibu hoja kwa majibu mujarabu wanaanza kuwatumia watu kama msajili wa siasa kufanya maigizo mbele ya umma. Kwanza haya ni matumizi mabaya ya pesa za umma.

Jambo/mambo wanayodai washindani wenu yapo kisheria na kikatiba. Simameni mjibu hoja. Ninyi si chama kikongwe Africa? Ninyi si mlisimamia ukombozi wa kusini mwa africa?

Uoga wa kujibu hoja mmeutoa wapi? Mmerogwa?
 
Suala la katiba mpya na mikutano ya kisiasa vinazidi kuwanyima CCM usingizi. Badala ya kujibu hoja kwa majibu mujarabu wanaanza kuwatumia watu kama msajili wa siasa kufanya maigizo mbele ya umma. Kwanza haya ni matumizi mabaya ya pesa za umma...
Nani kakwambia Hawa waliopo ndo waliosimamia ukombozi kusini mwa afrika? we unaona mikakati yao yote inafeli kabla hawajaanza hiyo ni kumaanisha uwezo wao mdogo.
 
Aibu za kipumbavu kbsa hizi, Tatizo la Utopolo kichwani wanajamba na kuuliza ushuzi wa na nani na umetoka wapi wakati vumbi lao. What kind of ccm is this?

Rubbish wanaivua nguo tz mna Viongozi hawajaiva/hawana ukomavu kila anga. Nyuma yake yupo Ndugu Kikwete na wastaafu wengine wengi kwa ushauri wanaogopa nini siasa halali za majukwaa? Kikwete aliwezaje?
 
Nani kakwambia Hawa waliopo ndo waliosimamia ukombozi kusini mwa afrika? we unaona mikakati yao yote inafeli kabla hawajaanza hiyo ni kumaanisha uwezo wao mdogo.
Wote hao Utopolo tu nani kwa mfano ni zero zero uoga mtupu wameexpire kichwani hamna kitu ccm Utopolo ndio Tanzania Utopolo habari ndio hio depreciating Tanzania. Political vibrancy ndio nguo ya ccm, Tanzania si ya mfano tena kwa mambo chanya ni maarumaarufu kwa mmomonyoko wa kisiasa, demokrasia na kikatiba
 
Ccm ni Chama mufilisi. Kama CCM NI Chama kiikongwe kwanini hakiweki mazingira sawa na vyama shindani ili Kama ni kushinda CCM iishinde kwa haki, na badala yake inategemea mbinu chafu na za hivyo ili ishinde?
ccm imebaki ccm mshumaa tu tangu lini ccm ikawa chama Chenye kuogopa ushidani? ccm imebaki Jina spiritually ishabakwa na kubatizwa upya. ccm kanda ya mashariki na pwani
 
Kamati ya kipumbavu kabisa.
Suala la katiba mpya na mikutano ya kisiasa vinazidi kuwanyima CCM usingizi. Badala ya kujibu hoja kwa majibu mujarabu wanaanza kuwatumia watu kama msajili wa siasa kufanya maigizo mbele ya umma. Kwanza haya ni matumizi mabaya ya pesa za umma.
Jambo/mambo wanayodai washindani wenu yapo kisheria na kikatiba. Simameni mjibu hoja. Ninyi si chama kikongwe Africa? Ninyi si mlisimamia ukombozi wa kusini mwa africa? Uoga wa kujibu hoja mmeutoa wapi? Mmerogwa?
 
wanajitekenya tu bt kipindi hiki hakuna rangi wataacha kuona hadi mwafaka wa kweli utakapopatikana
 
Back
Top Bottom