ACT-Wazalendo mnapata wapi pesa za kuendesha chama?

ACT-Wazalendo mnapata wapi pesa za kuendesha chama?

PISTO LERO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Posts
2,819
Reaction score
1,458
Wakati kunavyama vina miaka zaidi ya 10 vimeshindwa kufanya mikutano hata mkoa mzima.

Nyie hamna wabunge wala madiwani wanaokichangia chama.

Kama Zitto aliweza kutangaza mali alizonazo na amezipata vipi, kwanini ameshindwa kutueleza pesa za kuendesha chama zinapatikana wapi?

Wadhamini wa chama ni akinanani.

Kama mtanzania nahitaji majibu?
 
Wana visima vinaitwa hazina na kingine kinaitwa Rostam Aziz, wanajichotea tu za kutosha. Kamwe hawawezi kuelezea vyanzo vyao vya mapato halali kwa sababu hakuna kitu kama hicho.
 
Ungana na Wazalendo kwenye mkutano unaofanyika katika viwanja vya furahisha Mwanza LIVE kupitia RFA kuanzia saa 11

ACT WAZALENDO, TAIFA KWANZA, TURUDI KWENYE MISINGI
 
Mkuu acheni kutafuta visingizio,.......michango ya wanachama na wapenzi wa wachama inatosha kuendesha hiyo mikutano, pia kuna huduma ya vodacom abayo mtu yoyote anaweza kuomba tune ya chama na akachangia kidogo kama 200...mdogo mdogo mambo yanakaa sawa.
 
Wakati kunavyama vina miaka zaidi ya 10 vimeshindwa kufanya mikutano hata mkoa mzima.

Nyie hamna wabunge wala madiwani wanaokichangia chama.

Kama zitto aliweza kutangaza mali alizonazo na amezipata vipi, kwanini ameshindwa kutueleza pesa za kuendesha chama zinapatikana wapi?

Wadhamini wa chama ni akinanani?

Kama mtanzania nahitaji majibu?
Siasa ni game, act ni player... Funded by other politicians, wakichokwa watatoswa Kama mrema alivyotoswa
 
mkuu acheni kutafuta visingizio,.......michango ya wanachama na wapenzi wa wachama inatosha kuendesha hiyo mikutano, pia kuna huduma ya vodacom abayo mtu yoyote anaweza kuomba tune ya chama na akachangia kidogo kama 200...mdogo mdogo mambo yanakaa sawa.
huoni hata aibu mkuu?!,inamaana hivyo vyama vingine havina wanachama? Chukulia udp na tlp
 
siasa ni game, act ni player... Funded by other politicians, wakichokwa watatoswa kama mrema alivyotoswa
si vibaya tukawafahamu hao wanaochangia,kama wameamua kuwa wawazi kama zitto anavyojinadi, kunaubaya gani kuliweka hili wazi.
 
Wana visima vinaitwa hazina na kingine kinaitwa Rostam Aziz, wanajichotea tu za kutosha. Kamwe hawawezi kuelezea vyanzo vyao vya mapato halali kwa sababu hakuna kitu kama hicho.

Jihadhari na sheria mpya, huenda imeshasainiwa.
 
ungana na wazalendo kwenye mkutano unaofanyika katika viwanja vya furahisha mwanza live kupitia rfa kuanzia saa 11

act wazalendo, taifa kwanza, turudi kwenye misingi
siwezi kujiunga na chama ambacho hakikowazi kwenye mapato yao,
 
Acha kutisha watu wewe!

Mkuu [MENTION]BAK [/MENTION] , nilikua nakutahdharisha tu kuwa uwe makini. Hata kama unapishana kimawazo na ZZK, lakini jamaa kwa sasa ndio habari ya mujini. Tuungane nae kuleta mabadiliko ya kweli.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Acha kutisha watu wewe!

Alichosema ni sahihi, watu wapo huru sana kukashfu na kuzusha uongo.Sheria hii ikianza kazi usijeshangaa unadakwa.

Dunia ya utandawazi hakuna pa kujificha.Itafika wakati mtu ataenda polisi kumshitaki BAK wa Jf, na atapatikana alipo na kupelekwa kwenye mkono wa sheria.

Tujihadhiri, uhuru una mipaka.
 
Mkuu habari ya mujini wakati anashindwa kujibu maswali ya msingi anayoulizwa na Watanzania? Alikuja hapa jamvini akaanzisha uzi na watu wengi wakauliza maswali mengi ya msingi akajibu baadhi tu na kisha akakikimbia kujibu maswali mengine chungu nzima. Ni kipi kinachomfanya achague maswali yepi ni ya kuyajibu na mengine kuyapotezea? Kama hana majibu si aseme tu sina majibu badala ya kukimbia? Haya maswali yataendelea kuulizwa atayakimbia mpaka lini?

Mkuu BAK , nilikua nakutahdharisha tu kuwa uwe makini. Hata kama unapishana kimawazo na ZZK, lakini jamaa kwa sasa ndio habari ya mujini. Tuungane nae kuleta mabadiliko ya kweli.
 
Mbona chadema alipewa mil 100 na muhindi wa ccm?? Kuna kosa act wakopewa???
 
Back
Top Bottom