Marcopolo vipi leo?Wewe kweli anophelesi unasambaza malaria tu...
akili zako umezivalia kwenye soksi kwahiyo hazifanyi kazi hiki ndiyo nini acha utoto wako.
Nawe umeandika yako mkuu. Ni askofu wa josephat mwingira aolewa"Mchungaji wa Nabii Mwingira aolewa" Hiki ndio kichwa na chabari cha gazati la Nyakati la Jumapili. Hiyo uliyoandika wewe ni ya gazeti lako.
Wana JF,
Niko safarini kuelekea Mkoa mmoja wapo wa kanda ya kati.
Kwambali ninaona gazeti la NYAKATI likiwa na kichwa kisemacho;
NABII JOSEPHAT MWINGIRA AOLEWA.
Naomba aliyesoma habari hiyo kwa undani atujuze!
Mungu akusamehe kwa kuwa hujui ulinenalo.. be careful dunia hii ya Mungu na ina watu wa Mungu, .. soma habari ya Sauli ujue nini kilimfanya akaitwa Paulo badala ya Sauli.