Video ya Mahubiri ya Askofu Mwingira yaondolewa mitandaoni

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,653
218,141
JF ndio tegemeo la Dunia la kufichua yaliyofichwa , naomba yeyote mwenye video ya mahubiri ya Baba Askofu Mwingira alioyatoa leo, yanayosemekana ni mahubiri makali kupita yote ya maaskofu ya kudai haki tangu kupatikana kwa uhuru wa Tanganyika atuwekee tafadhali.
 
You tube nao wajinga tu.
IMG-20211226-WA0016.jpg
 
Vipi kuhusu hoja zake za leo ?
Hotuba japo sijaisikia, headline tu inaonyesha, askofu anaongozwa na mihemko, pamoja na dharau za kimtikila kwa marais wa kiislamu,, sababu tu wanakuwa si madikteta.

Hawa jamaa washagundua viongozi wenye imani ya kiislamu wanakuaga na hekima too much,, jambo linalowafanya watu mbalimbali wajaribu kuwatikisa tikisa na kuwa provoke.

Hii tendency ilianza tangu zama za Ruxa,, kipindi kina mtikila, Pengo, etc walivyokuwa wakimnanga mzee Ruxa bila woga wowote,, tofauti na walivyofanya kipindi cha nyerere, mkapa, au chuma
 
Acha upumbavu, huwezi kumuita mkuu wa nchi shetani
Huyu inapaswa akamatwe aseme ikulu gani Ina shetani.
Mpuuzi sana huyu mjinga wa mwisho
Enzi za chuma watu kama hawa walikua hawakohoi kabisa, maana yule ukicheza anafuta taasisi yako na hakuna kitu utamfanya,

"Huwezi kuwa msaliti alafu ukabaki salama''.

Gwajima alinyooka na kuwa mfuasi mtiifu kweli kweli.

Ombi langu, makonda arudishwe na apewe wizara ya habari, ili watu watie adabu
 
Back
Top Bottom