Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Afya ndio msingi wa maisha yetu. Bila kuwa na afya hakuna Jambo linaweza kuwa sawa kwa mtu binafsi, familia na hata Taifa. Kwa hali inayoendelea sasa nchini ya watu kupatwa na mafua na homa kali...
0 Reactions
2 Replies
574 Views
MKURUGENZI WA ZAMANI WA SHIRIKA LA NDEGE TANZANIA (ATCL),DAVID MATAKA LEO ASUBUHI AMEFIKISHWA KATIKA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU JIJINI DAR ES SALAAM. MBELE YA HAKIMU TARIMO AKIKABILIWA NA...
1 Reactions
97 Replies
18K Views
Kwa nyendo zako za sasa yaani unapiga mulemule na hongera sana! Tatizo ni huyo January Waziri wa nishati anakuharibia kwa wananchi.Muda wote Tanesco wanakata umeme na hilo ni tatizo la Nchi...
1 Reactions
42 Replies
3K Views
Katika yote hayo wala hatujui Mwingira kafika polisi kuhojiwa ama la! Nchi hii tumerogwa tena tumerogwa hasa si wapinzani wala wanaharakati wote Ukitaka kujua tumerogwa fikiri toka jana tuna...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Wananchi wa Dodoma, chukuoni Bure ila lipieni Alizeti, hapo Nina maana mpaka Spelika nae mbebeni Bure na mpeni adhabu ya Bakora Tano Kila siku. Mkoa wa kagera na Moshi na Arusha nilipeni Bilioni...
7 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu sasa baada ya kifo cha Hayati Magufuli tumeshuhudia minyukano ya wazi ya kutokukubaliana baina ya Makada wa CCM kuhusu mwenendo wa baadhi ya mambo yawahusuyo wao kwa wao. Hivi...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Yule mwamba aliyepewa jina la kiroboto na wahuni anawasalimia sana na hivi punde kupitia ukurasa wake wa Twitter atawatakia kheri ya Sikukuu ya Noeli. Kikubwa ametuomba tuendelee kuwakataa wahuni...
9 Reactions
29 Replies
3K Views
Kwa nafasi yake na aina ya Wabunge na jinsi walivyopatika Ndugai kea kulitumia bunge anaweza kubadilisha sheria zote kandamizi na kuweka fair ground kwake na wanasiasa wenzie. Polepole ameshaanza...
3 Reactions
17 Replies
981 Views
Leo gazeti la The Citizen limempongeza mama Samia kukopa kiasi Cha dola bil 3.35 kiasi ambacho ni sawa na trillion 7.7 kwa kipindi toka amekua rais. Hii imetokana na uongozi bora ikiwamo...
3 Reactions
35 Replies
2K Views
Yaani kama umeshavuka miaka 25 basi kuangalia Tom & Jerry inakuwa ni vioja na kuonekana mtu wa ajabu sana,bado hujakua.Ila kama unataka kufurahi kama enzi zile basi angalia viongozi wa Tanzania...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mtu kama Mmawia wa Tandahimba ana hasara gani kama nchi itapigwa mnada au la? Haya mambo waongee wenyewe huko kwenye kamati kuu kwa kuwa kulialia kwa wananchi wa kawaida haitasaidia chochote...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Josina Machel katika S is for SAMORA Uhuru wa nchi ya Msumbiji hauwezi kuelezwa bila kumtaja Samora Machel na bila kuitaja Tanzania. Hata hivyo Watanzania wengi na pia wana Msumbiji wengi wa...
9 Reactions
33 Replies
4K Views
Kwa Ufupi sana Mwambegele ametokea ndani ya Tume ya Uchaguzi , akiwa Mjumbe , Jambo hili ni zuri maana mtu huyu anao uzoefu wa masuala mengi yanahusu Uchaguzi na Tume yenyewe . Kingine cha Muhimu...
44 Reactions
64 Replies
6K Views
Kuna trend ilianzia kwa mwendazake, kwamba rais katoa ela, mara rais kajenga daraja, mara rais katoa ela za uwanja wa chato nk nk. Lakini sijawahi sikia... "Rais wa Marekani katoa mkopo" kwa...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amesema katika miezi michache aliyokaa kwenye Serikali ya Awamu ya Sita, ameona mambo mengi ambayo huko nyuma hayakuwa yakifanyika lakini sasa hivi yanataka kuanza...
10 Reactions
63 Replies
7K Views
Mifuko ya plastic nchi hii iliondolewa bila hata Mende kuguswa kitu ambacho mwendazake na serikali nzima hawakuamini. Wananchi wa Tanzania walistaajabu uwezo na akili yake na mikakati yake...
4 Reactions
69 Replies
5K Views
Sina mengi, Rose Muhando akihojiwa na wasafi TV alitoa tuhuma nzito kwa jeshi la polisi na serikali kushirikiana na watu waliomtesa na kumnyanyasa kiasi cha kukosa pa kushitaki lakini cha ajabu...
8 Reactions
23 Replies
4K Views
Huko ccm mambo siyo huku kwa wananchi hali ni tete Upinzani hii ni fursa ya pekee iliyobaki na ni bahati pekee iliyobaki ya kunyakuwa madaraka 2025 Upinzani acheni uchu wa madaraka unganeni...
5 Reactions
44 Replies
3K Views
Back
Top Bottom