Mwenyekiti yupo ndani kwa kesi ya kubumba. Yupo ndani na anahitaji sapoti yetu kwa kila namna. By any means necessary.
Leo hii kila mwanaCdm anakomaa juu ya Spika Ndugai kuponda mikopo, tunakomaa...
Huu ni mjadala muhimu kwa taifa. Kama ni kweli Serikali ilikopa $1.5B kujenga reli kwa riba ya 8% kwa miaka 6 huu sio mkopo mzuri kabisa. Riba kwanza ni kubwa kwa serikali kwa sasa . Riba za...
Hotuba ya Rais Mwinyi
mheshimiwa Othman Masoud Othman; Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar,
Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdulla; Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,
Mheshimiwa Zubeir Ali Maulid...
Habari Wana jamvi la jf.
Moja kwa moja niende kwenye bandiko.nimetafakari Sana kuhusu vyama pinzani hapa nchini jinsi vinavyoendesha siasa zao na progress za vyama hivi miaka nenda ,miaka rudi...
Mimi ni muumini wa Uhuru wa kweli na kujiamini kama mtanzania !
Kauli mbiu yangu wakati naingia JF ni moja tu inatambulika kama "KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA"
Kaulimbiu hii inamaanisha kuwa...
Ktk maandishi yake shangazi Fatuma Karume anasema dhihaka zinazotolewa na akina Ndugai, Polepole, Gwajima, n.k ni taarifa tosha kabisa kuwa rais Samia haheshimiki ndani ya ccm.
Shangazi...
Yasemekana walifungasha virago tangu Novemba mwaka 2020. Pesa ya kulipa ilikuwa hakuna.
Baada ya fedha ya korona kupatikana sasa tumetenga kiasi fulani cha kuwalipa hao makandarasi na kuwaomba...
Wadau kati ya katiba iliyopo na tume ya uchaguzi tatizo kubwa ni katiba iliyopo
Hata ikatokea Mh. Zitto kabwe akateuliwa kuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi atake asitake lazima atatii maagizo ya...
Watu wanaojadili deni la Taifa hasa baada ya JPM kufariki wanamtupia lawama yeye kwamba alikopa Zaid ya Trilioni 29 kwa miaka mitano tu akiwa ndiye Rais aliyekaa madarakani Muda mfupi Tanzania...
Speed ya mitano Tena imepooza sana, watumishi wanajifanyia watakavyo, wafanyabiashara wanajiendea kwa matamko tu. No strategy ya pamoja inayoonekana.
Je, Ni mitano Tena ya viwanda?
Au Ni mitano...
Unapolalamika kuwa Tanzania haina upinzani, fahamu dagame ambayo Chama tawala kimefanya katika kudumaza upinzani kwa nguvu ya ajabu. Vinara wa upinzani wamepigwa mpk wamechakaa na hivyo wananchi...
Leo, Mwingira atahojiwa kwa Nini alinusurika kufa mara tatu wakati wenzake wanaguswa mara moja na kufa hapo hapo?
Kwa ufupi matukio ya mahuaji yanazidi kishamiri Tanzania. Watu wanakufa jamani...
Namuangalia mheshimiwa sana John Pombe Magufuli akijipambanua kwa kutuhabarisha juu ya miradi ya barabara inayoendelea kutekelezwa jijini Dar na kwengineko nchini.
Ni ukweli usiopingika kuwa kwa...
igweeeee
Hatimaye wale walioumizwa zaidi kuondoka kwa awamu ya 5 wanajitokeza kumpinga mama waziwazi
Ni akina nani wako timu mwendazake?
Hawa ni timu mwendazake
•Job Ndugai
•Polepol
• Gwajima
•...
Simpendi Ndugai kwa ujinga wake mwingine lkn kwa swala la leo wala hakusema vibaya,,,alijaribu kuwaambia watu kwamba mpango wa tozo ni bora zaidi kwetu kwa sababu tunakuwa tumeweza kujitegemea...
Wadau mtakumbukwa CHADEMA Kiliwafukuza Wanachama wake 19 kwa kukiuka Agizo la Chama chao.Pamoja na Ofisi ya Bunge kupokea Barua kutoka CHAMA HUSIKA bado SPIKA Aliwaapisha Wabunge hao.
Kama...
Rais Samia amesema ataendeleza mema yote ya awamu iliyopita ( ya Magufuli) ikiwemo kukamilisha miradi yote iliyoasisiwa katika awamu hiyo.
Source: ITV habari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.