David Mataka kizimbani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

David Mataka kizimbani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MJIMPYA, Nov 22, 2011.

 1. MJIMPYA

  MJIMPYA JF-Expert Member

  #1
  Nov 22, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  MKURUGENZI WA ZAMANI WA SHIRIKA LA NDEGE TANZANIA (ATCL),DAVID MATAKA LEO ASUBUHI AMEFIKISHWA KATIKA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU JIJINI DAR ES SALAAM.

  MBELE YA HAKIMU TARIMO AKIKABILIWA NA MASHTAKA MATATU LIKIWEMO LA KUSHINDWA KUTOA TAARIFA SAHIHI KUHUSU MATUMIZI YA VITU MBALI MBALI VYA SHIRIKA HILO.

  Source; Michuzi blog
   
 2. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #2
  Nov 22, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mataka pamoja na wenzake 3. Kwa matumizi mabaya ya ofisi. Tuone hii nayo itabinuka vipi
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,007
  Trophy Points: 280
  Shirika gani? PPF au ATC? Au matumizi mabaya ya ofisi zote mbili?
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nikimsoma Mataka basi jina la Defao na TMJ huflash kichwani.
   
 5. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #5
  Nov 22, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Wamewaacha wakatafuna shirka letu la ndege hadi karibia kufilisika sasa leo ndio tunadanganywa na kesi za Kisutu?
  Huu nao ni usanii mwingine! Hivi ulisikia wapi postmorterm ikamrejesha marehemu?
   
 6. Bongo Pix Blog

  Bongo Pix Blog JF-Expert Member

  #6
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  You're Right, wameacha katafuna ka mchwa, kaliua shirika leo ndo wanaibuka, hii nchi haiishi maigizo. period.
   
 7. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #7
  Nov 22, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  duh ya kina mramba kesi bd?
   
 8. jameeyla

  jameeyla Senior Member

  #8
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :A S embarassed::shock:
   
 9. jameeyla

  jameeyla Senior Member

  #9
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ''Eggs n Words should be handle with care once Eggs broken n Words spoken are Hardest to repair''
   
 10. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #10
  Nov 22, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Nimesikia kweli
   
 11. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #11
  Nov 22, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Kwenye red:
  Shirika halikuwa na kurugenzi ya fedha na utawala?
   
 12. M

  Marytina JF-Expert Member

  #12
  Nov 22, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Huyo Mataka kila shirika alilokaa ameua nadhani sasa anaelekea kuua his own family
   
 13. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #13
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,428
  Likes Received: 12,696
  Trophy Points: 280
  wangefanya zote mbili
  sidhani kama huyu mataka alifanya vyema pale ppf   
 14. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #14
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,428
  Likes Received: 12,696
  Trophy Points: 280
  hehehehehe mbav zangu mie.sahivi kakua kaacha bhana   
 15. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #15
  Nov 22, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Watu wa hivi wako makini sana kwenye familia zao mkuu besides familia ndo beneficiaries wa kwanza wa ufisadi wao
   
 16. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #16
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,428
  Likes Received: 12,696
  Trophy Points: 280
  le generale def defao hana hamu nae atii

  na humu mjini kawaumiza majamaa
  lukuki
  natamani kesi impeleka segerea
  ndo watamlipizia kisasi kulee


   
 17. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #17
  Nov 22, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  Hakuna kitu hapa. You just frame the charge wrongly and the guy is acquited
   
 18. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #18
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,428
  Likes Received: 12,696
  Trophy Points: 280
  mkichoka kuifwatilia ghafla mtasikia imeyeyuka
  this country bwanaaaaaa   
 19. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #19
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  duh..naona message yangu imeyeyuka hapa...halafu tunamlalamikia Shamsi Vuai Nahodha kwa kutunyima uhuru wa kuandamana...!
   
 20. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #20
  Nov 22, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,630
  Likes Received: 1,388
  Trophy Points: 280
  senema ingine hii tena inarushwa kwa projecta mchana wa jua kali...
   
Loading...