Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naam Ilikuwa awamu ya tatu ambapo Hayati John Magufuli aliponshauri Rais wa wakati uo Hayati Benjamini Mkapa iwe inatengwa Billion 1 kila makusanyo ya mwezi ili iweze kutumika katika ujenzi wa...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Sahivi bado najiuliza maswali lakini sipati jibu, uchaguzi wa 2015 Jaji Lubuva alisema tume ni huru na haiingiliwi na mtu . Mwaka Jana Kina Mahela na Jaji Kaijage waliuaminisha umma kuwa uchaguzi...
7 Reactions
42 Replies
4K Views
UKIWA KIONGOZI WA UMMA CHUNGA NDIMI YAKO USIJE KUWA KITUKO KWA MANENO YAKO Na Unoko ni Uzalendo Ukiona mtu anaweweseka kwa sauti serikali kukopa muulize je yeye hana mkopo na kama anao Bondi ya...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Kuna wengi wamepitia machungu ya Spika Ndugai wakiwemo akina alhaj Prof Assad, Dr Paul Makonda, Wakili msomi Tundu Lisu, Mwandishi nguli na mwanasheria Pascal Mayalla, nk....nk Ndio maana Spika...
10 Reactions
34 Replies
2K Views
Wanajukwaa nawasalimia Kwa jina la Jamhuri. Wanandugu kunajambo naomba niwashirikishe tujadiliane. Kama hakuna nyongeza ya mishahara,hakuna ajira mpya, tozo kama kawaida na mikopo ipo pale pale...
14 Reactions
95 Replies
4K Views
Leo nimepata kukusanya japo kidogo na kuunganisha kwa nini kuna makundi au vikundi baadae huja kuwa tishio au kuondoa tawala kabisa. Suala la kuibuka kwa makundi au vikundi kuna mawili ambayo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Akiongea na waandishi wa habari Leo 11/8/2021 ametoa maelekezo mwenye halmashauri na kisha kukaribisha maswali. Moja ya swali ilikuwa Katiba mpya. Muuliza swali amejenga hoja kwa kubalance vizuri...
13 Reactions
166 Replies
10K Views
Mbona watz mnakuwa watu msioeleweka kivile. Yule mlimwita Baba Haambiliki ,Magufuli hasikilizi ushauri na sasa mkipata aliekubali kukoselewa ,nafikiri huwaga mara nyingi hugusia yupo tayari...
0 Reactions
1 Replies
567 Views
Je, Ni huyu ama Watanzania wamngojee mwingine?
4 Reactions
47 Replies
4K Views
Ndugu zangu wale wanye uchu na nia ya kuiondoa CCM madarakani ( Tuseme kuivua gamba CCM), kuna kamtindo kamezuka cha kuwahamisha wapinzani kwenye reli na kuwasababishia kupinduka. Kama mmeona:-...
1 Reactions
8 Replies
912 Views
Kulingana na data za world Bank. Ukilinganisha na mwaka 2020 muda kama huu mauzo ya bidhaa nje ya nchi yameshuka kwa dola milioni miasita sawa na trilioni moja za kitanzania. Hii ukiachana na...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Salaam Wakuu, Baada ya Kuvumilia kwa muda mrefu, sasa wameamua kuoneshana Makali. Mwenye pesa zake kakodi mbuzi washambulie shamba la Mbigili. Wanashindwa kujua Mbuzi anakula Majani, Mizizi ya...
0 Reactions
0 Replies
611 Views
Hili genge lenye roho mbaya dhidi ya Serikali ya sasa kila mtu mwenye akili timamu analijua. Wamejawa na uchu wa madaraka, rushwa na upendeleo. Ni ndumi la kuwili, wana ndimi mbili ni watu wa...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
UNAPOKOPA KUFANYA MRADI UHIMILIVU WAKO WA DENI UNAENDELEA KUWA MZURI . "Unapokopa mkopo hukopi kwa ajili ya kula unakopa kwa ajili ya kufanya project ambazo zitaendelea kuzalisha na kwasababu...
2 Reactions
12 Replies
762 Views
Ni kwamba tayari kuna Mstaafu Mmoja aliye karibu na Mteuzi Mkuu Kikatiba nchini Tanzania ameshampigia pande ili nae apewe Cheo kama cha Mwenzake Jerry Muro. Baada ya Yeye ( Haji Manara ) kuona...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
CCM mkiendelea hivyo mlivyo sasa kwa kila mtu kutoa tamko mnapotea. Hebu acheni huo ujinga! Haji Manara kaenda mbali sana kuwataka ndugu wa marehemu watulie je tafsiri yake ni ipi hapa na ni...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha leo Jumatano Desemba 29, 2021 imeshindwa kutoa uamuzi mdogo katika kesi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita baada ya...
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Maelezo ya Picha: Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja(Kulia) akikagua hoteli ya nyota tatu inayojengwa na Hifadhi za Taifa Tanzania inayojengwa Wilayani Chato mkoani Geita. Mwalimu...
18 Reactions
232 Replies
30K Views
Mkataba wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kipande cha kilomita 368 kutoka Makutupora hadi Tabora utatiwa saini leo Ikulu huku rais Samia akishuhudia Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Back
Top Bottom