Polepole anawasalimia sana na ameanzisha #kataawahuni.

Polepole anawasalimia sana na ameanzisha #kataawahuni.

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,056
Reaction score
6,208
Yule mwamba aliyepewa jina la kiroboto na wahuni anawasalimia sana na hivi punde kupitia ukurasa wake wa Twitter atawatakia kheri ya Sikukuu ya Noeli.

Kikubwa ametuomba tuendelee kuwakataa wahuni kupitia hashtag yake aliyoianzisha ya #kataawahuni
 
mnampa promo...uwezo wake mdogo kwa jukumu mlilompa... kama huyu ndio front runner wenu basi mtasambaratishwa mapema...mjipange, jamaa mipango yao sio ya kitoto.... waulizeni "ulipo tupo" pamoja yakuwa full equiped walisambaana wote.. nguvu yenu ni ndogo sana jipeni muda hata wa 20yrs kujipanga.....Adui yenu ni mtulivu na mwenye subira na anaamini kwenye mipango mikali + succession plan...mfano kuna jamaa wenyewe mnamuona mwenzenu lakini sio mwenzenu anawachora tu yupo upande ulee kama ilivyokuwa kwa Bi mdashi, mkapewa fake toss mkaingia mmemalizwa mnawayawaya..
 
Fanyeni kazi siasa zitawamalizaaa

Sijui mara wahuni wengine na sijui wanaitwaje?

Kila siku mnalalamaaa

Ova
 
Yule mwamba aliyepewa jina la kiroboto na wahuni anawasalimia sana na hivi punde kupitia ukurasa wake wa Twitter atawatakia kheri ya Sikukuu ya Noeli.

Kikubwa ametuomba tuendelee kuwakataa wahuni kupitia hashtag yake aliyoianzisha ya #kataawahuni
Muhuni mkubwa na kubwa lao aka godfather yuko chato kalala
 
waulizeni "ulipo tupo" pamoja yakuwa full equiped walisambaana wote
"Ulipo tupo" walikuwa hata na uwezo wa kuchakachua mafuta ya magari ya rais halafu yanazima ghafla akiwa barabarani. Mnaikumbuka hii kadhia? "Ulipo tupo" walijipanga bhana. Huyu Polepole hana base yoyote.
 
Yule mwamba aliyepewa jina la kiroboto na wahuni anawasalimia sana na hivi punde kupitia ukurasa wake wa Twitter atawatakia kheri ya Sikukuu ya Noeli.

Kikubwa ametuomba tuendelee kuwakataa wahuni kupitia hashtag yake aliyoianzisha ya #kataawahuni
Apambane na Hali yake.
 
Wahuni hawakubaliki hata kidogo...ni lazima waondoke....Slogan: Kataa Wahuni Tanzania (KWT)....
 
Polepole anasema kuwa mhuni ni mtu ambae kauli yake ya juzi ni tofauti na kauli yake ya leo na ni tofauti na kauli yake ya kesho.Ni mtu ambae hana msimamo.

Kwa definition yake hii Polepole ndiye mhuni namba moja kwenye hii nchi kwa sababu wakati wa Rais Kikwete alisema ndiyo kwa katiba mpya halafu wakati wa Bwana chato akasema hapana kwa katiba mpya.
 
Back
Top Bottom