Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Si zamani sana ilikuwa kila kona unaona bendera ya CCM inapepea na wanachama wa Chama hiki Cha CCM wametapakaa na utawajua kwa mashati yao yenye nembo za CCM na wavaa khanga nao umanjano na...
1 Reactions
0 Replies
682 Views
Kuongoza ni kuweka ukweli mbele. Ni kukumbatia na 'kushare' haki kwa unaowaongoza. Ni kufuata taratibu zilizopo huku ukitanguliza maslahi ya unaowaongoza, haki zao na wajibu wao. Kuongoza si...
36 Reactions
41 Replies
5K Views
Bunge litakuwa na vikao vyake Jauary-February 2022. Nashauri CCM wamzuie spika asiendeshe vikao hivyo kwa sababu jamii haina imani naye tena, ikiwemo CCM na wapinzani, pia aliwahi kusema ana...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Hali si shwari kwa wanaofuatilia siasa za nchi hii toka camarada Legendary Pombe alipotoweka dunia. Pamoja na kuwa katika wakati mgumu kufuatia kushusha siraha nchini na kuonyesha udhaifu kwenye...
4 Reactions
52 Replies
4K Views
Mpaka SASA sio mawaziri wala Watanzania wa kawaida wanaojua mama anataka nini, anasimamia nini na anatupeleka wapi. Katika mazingira kama hayo ni kuwa mkimya ili kusoma upepo maana ukifanya...
1 Reactions
3 Replies
521 Views
Tangu mama aingie madarakani namuona kama anawachukulia poa sana wananchi. Wananchi ndio Kinga yake na ndio tuliomkubali akae pale na tukaendelea na shughuli zetu. Sasa asituchulie poa mara tozo...
3 Reactions
4 Replies
525 Views
Ni Rais wa nchi, Waziri Mkuu, Waziri wa fedha, Gavana wa Benki Kuu, Bunge, Spika, Lwajabe au ni nani hasa? Na je anapoamua kukopa anakuwa ameshauriwa na nani au anaamua tu yeye mwenyewe kwa...
8 Reactions
44 Replies
3K Views
Binafsi naamini huku mtaani hata mtu binafsi ukifikia hatua ya kukopa Ili kulipa deni unakuwa umefikia point of no return. So how on Earth kama nchi tumefikia hapo . Je hii ni hali ya kawaida...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Kukosekana kwa vifaa hivi kwenye vituo vya afya vingi imekuwa changamoto kubwa kwa matibabu Ushauri baada ya kufanya vizur kwenye madarasa sasa nguvu ihamishie huko pia kuna vituo vingi vikubwa...
1 Reactions
7 Replies
788 Views
Kati ya mambo ya ajabu yaliyotokea kwenye mkopo wa 1.3 trillion ni mgawanyo wa huo mkopo. Wakati kanuni za Muumgano zinasema kuwa kwa mikopo na misaada ya nje, Zanzibar itapata 7%, na Tanzania...
1 Reactions
11 Replies
616 Views
Alianza kuomba msamaha wakristu wote kwa kumsingizia Yesu kwamba alikuwa na mke,wakristu walimsamehe!!! Mara nyingine kagusa pabaya,,amejaribu kumdharau rais kisa tu ni mwanamke hapa mfumo dume...
2 Reactions
3 Replies
655 Views
Ndio stage tuliyofikia WaTz, haya makelele ya Spika ndugai na Raisi Samia ni ya kutafuta kiki na kutaka kupindisha kule wananchi wanakotaka kwenda ,kwenye Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya...
0 Reactions
1 Replies
610 Views
Sinior Makamba alijua mwanae ana andaliwa kuwa Rais wa jamhuri, enzi za kikwete ikala kwake enzi za mwendazake. Alipokufa Mzee magu baba akawa na Imani yakuwa January amerudi Tena,je January...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Wadau vipi ? Ndugai akitangaza kujiunga na Chama kikuu cha upinzani mtampa tiketi ya kugombea Uraisi hapo kama ikifika 2025,katika uchaguzi Mkuu? Bora ajiunge na Chadema, kwani kwa 2025...
2 Reactions
40 Replies
3K Views
Mbatia katika hotuba yake ya mwisho wa mwaka alisikika akisema mpaka sasa Serkali ya awamu ya sita imeshakopa takriban Trillion 10 tokea iingie madarakani! Nauliza kwanini serikali haiji kutoa...
6 Reactions
44 Replies
4K Views
Imani huzaa Imani na hofu huzaa hofu. Kwasasa Rais hana Imani tena na Spika, ana hofu na Spika na kundi lake ambalo hajui wako wangapi, ni akina nani, wako wapi na wanapanga nini na nini lini na...
0 Reactions
2 Replies
583 Views
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kumekuwepo watu wanaohoji kwanini Nchi imekopa japokuwa kuna fedha za tozo, akifafanua kuwa Taifa haliwezi kwenda na fedha za tozo pekee Ameeleza hayo akipokea...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wajuzi wa siasa na sheria tujuzeni katika hili tujuwe na tuchukuwe tahadhali siku zijazo. Nawasilisha kwa mwongo wenu
0 Reactions
0 Replies
502 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…