Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu. Kusema ukweli nipende kusema wazi JN ameonyesha uwezo mkubwa wa kusema ukweli bila kificho kwa haya yanayoendelea ndani ya serikali hii ya inayomalizia awamu ya tano. Anauchungu wa dhati...
1 Reactions
28 Replies
1K Views
Naheshimu mawazo yako Thadei Ole Mushi,nilijua utatutajia nini kimempata Ndugai lakini umeishia kupamba pambo maua,kupiga maneno na kutuletea maajabu ya Bongo,bongo sihami.Unasema awamu ya tano...
12 Reactions
26 Replies
3K Views
Angalia hawa vijana wa Bavicha hata majina sitaki kuwataja, muda mwingi wapo Twitter wanalumbana juu ya ishu za ajabu ajabu tu. Hawajui hoja namna kujenga hoja juu ya kuwakuna wananchi hakuna...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Katika historia ya hii nchi haijawai tokea rais na mwenyekiti wa CCM akapendwa kiasi hiki na wafuasi wa vyama vya upinzani. Naweza kusema taifa limepata bahati kubwa kuwa na kiongozi mwenye...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Kuna wengine zaidi ya Askofu na Zitto ambao wamefunguka na pengine wataendelea kufunguka kuhusu madhila yaliyowakumba. Kwa spirit ya uzalendo, nimeona nitoe mchango wangu kwa vyombo husika...
2 Reactions
4 Replies
930 Views
Wengi alipokabidhiwa kiti cha Urais Mama Samia tulipongeza uzuri wa Katiba tliyonayo hasa kifungu kinachoeleza Rais aliyepo madarakani akifariki Makamu wake anaapishwa kuwa Rais. Mimi naona haya...
6 Reactions
6 Replies
1K Views
Kumezuka tabia ya watumishi wa umma kufukuzwa kazi kihuni na waajiri wao na kutokana na kutofuraishwa na kufukuzwa kwao , watumishi hao huwa wanaenda kufungua malalamiko huko CMA Commission for...
1 Reactions
3 Replies
822 Views
Wanaukumbi. Mbowe, rafiki yangu ukimalizana na kesi pumzika kufanya siasa ili upate muda wa kupumzika na kujitafakari upya huku nje hauna watu una wasaliti watupu. Hawakutakii mema. Wanataka...
6 Reactions
56 Replies
3K Views
Hilo ndio swali ambalo kila mwenye kufikiri sawa sawa anapaswa kujiuliza. Ninachokoona mini ni kuwa, Mama ni kama yuko peke yake na ndio maana hata wasaidizi wake (wateule wake), hawatoki...
23 Reactions
86 Replies
6K Views
Baada ya beef za Ndugai kwa Rais Samia naibu spika amekuwa mkimwa sana akisubiri spika ajichimbie shimo mwenyewe. Sasa huu mwanja ni mzuri kwake. Ndugai hata Magufuli alikuwa hampendi
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Ibada iko mubashara ITV. Ni ibada ya kumuaga aliyekuwa askofu mkuu wa Kanisa la TAG awamu ya pili Prof Mwenesongole. Watu ni wengi sana wakiwemo viongozi wakuu wa serikali, wabunge, mabalozi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Je wajua kuwa wanasiasa wengi Wana hisa kwenye community redio zilizo nyingi? na ndio maana wakati wa kampeni nyingi utumika kwenye siasa? Mfano kasibante redio mkoani kagera imekaa kimbe embea...
0 Reactions
2 Replies
485 Views
Hakuna asiyejua kuwa wakati kuna mchakato wa (akina Zitto na wenzao) kuandaa misingi ya tume huru ya uchaguzi, wahudumu wa tume hiyo wameendelea kuteuliwa bila hata ya mashauriano. Ni wazi kuwa...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Mh sipika amekuwa na matamko mengi mengi hivi sasa, Majuzu juzi alikumbushia habari za kuendelezwa kwa makao makuu ya nchi DODOMA, alishangazwa na kitendo cha serikali kuipa kisogo Dodoma katika...
1 Reactions
11 Replies
878 Views
Raisi Jakaya Mrisho Kikwete amesema mauaji ya mchungaji yaliyosababishwa na waislam wa buseresere mkoani Geita ni fedheha, akizungumza wakati wa kuwatambulisha wajumbe wapya wa CC JK alisema wale...
2 Reactions
186 Replies
17K Views
Wana JF, Hapa mengi yanasemwa na maisha ya kijana yanaweza kuwa hatarini nini?
1 Reactions
4 Replies
574 Views
Sina Nia ya kudharau taaluma za watu wapo akina brother Pascal Mayalla umu nawaheshimu sana lakini taaluma zao zinanitia shaka Shaka yangu ipo siku ambayo tulitangaziwa na Mama Samia kua JPM...
10 Reactions
25 Replies
2K Views
Spika wetu Job Ndugai amekuwa mtu wa kujijitea kila anapotoa hotuba zake kwa umma. Habari ilianzia pale aluposema alishawahi kufika Galilaya pale ambapo Yesu na mkewe walipita. Hapo ndipo upepo...
1 Reactions
7 Replies
754 Views
Mama Anamalizia miaka minne ya awamu ambayo kairithi kikatiba, bado awamu yake, awamu hii ya sasa yupo kwa niaba ya marehemu. Mama anamalizia miaka 4 ya kipindi cha pili cha miaka 5 ya awamu ya...
5 Reactions
38 Replies
3K Views
Back
Top Bottom