Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,326
- 217,348
Ni Rais wa nchi, Waziri Mkuu, Waziri wa fedha, Gavana wa Benki Kuu, Bunge, Spika, Lwajabe au ni nani hasa?
Na je anapoamua kukopa anakuwa ameshauriwa na nani au anaamua tu yeye mwenyewe kwa matakwa yake? Na je hivi bunge la Tanzania halina mamlaka hata ya kupitia nyaraka ama sababu za mikopo tunayokopa kama nchi?
Kwamba yuko mtu au kikundi cha watu kinaweza kuamua tu kukopa bila idhini ya yoyote kwa lengo la kutimiza malengo yao lakini mzigo wabebeshwe wananchi?
Majibu ya maswali haya yanaweza kutusaidia kujua sarakasi za Spika wa Bunge na Uongozi wa nchi.