Uongozi ni nini?

Uongozi ni nini?

Joined
Nov 5, 2021
Posts
40
Reaction score
24
Siku nikiulizwa UONGOZI NI NINI? Kwa umri wangu kwa kuwa nimeshuhudia toka akiwa naibu waziri na waziri kwa kipindi chote na hatimae kuwa Rais wa nchi yangu Tajiri Tanzania jibu langu ni JPM.. (Hayati Dr John Joseph Pombe Magufuri)
NIMEMUONA,NIMEMSOMA,NIMEMSIKILIZA,NIKAITAZAMA TANZANIA NIKAPATA JIBU HILO🙏🙏..
Jàpo ametangulia mbele ya haki Iko siku atarudi kwa umbo na sura nyingine..

Malaki 4:5......Yesu akasema..Mathayo 11:11-14

NOTE: MATHAYO 10:11,12,13-15.
Screenshot_20211224-101722.png

🙏🙏
 
Ukabila unakutafuna , ndo Mana unasifia ujinga, unasifia mpasuko, kiongozi Bora ni Yule Ambaye analeta umoja na mshikamano miongoni mwa wananchi. Huu mpasuko unaouona ni kwa sababu ya kupata kiongozi dhaifu over.
 
Ukabila unakutafuna , ndo Mana unasifia ujinga, unasifia mpasuko, kiongozi Bora ni Yule Ambaye analeta umoja na mshikamano miongoni mwa wananchi. Huu mpasuko unaouona ni kwa sababu ya kupata kiongozi dhaifu over
Hakuna neno ukabila hapo Boss...., Hilo neno umelitoa wapi
 
Back
Top Bottom