Jiulize kama mkuu wa bunge na mhimili unaopaswa kujitegemea kuisimamia serikali umefanya kosa gani?
Kuhoji juu ya mkopo wa tril 1.3 ambao unatumika kujengea madarasa na vyoo.
Wewe unasimamia...
Nina imani wengi wenu mnJiandaa kuumaliza mwaka huu kwa bashasha na Tabasamu ingawa nina hakika wapo baadhi yetu wanao umaliza mwaka kwa vilio, yaani machinga mama ntilie, wagonjwa walioshindwa...
Siku hizi nashindwa hata kuingia JF kwani kwa sasa hili jamvi letu pendwa limekuwa kama kokoro. Hata hivyo hili tukio huko kwa jirani zetu limenizindua kutoka usingizi mzito. Kuna wakati taifa...
Pamoja na kuwa ukweli ni mchungu ni lazima usemwe.
Ukweli huogofya na ndiyo maana wale wanaosubiri matunda bila ya kutaka kuwa sehemu ya kuyatafuta, hao ruksa kuingia mitini na hata kutoa povu...
Kuelekea saa kumi na mbili leo, mitandao ya Twitter na YouTube imekumbwa na kwikwi.
Haya mambo ya kuchaguliana kipi tusikilize au kipi tusione hali tumenunua bando na kulipia tozo zenu zote...
Zimesikika chereko chereko na mayowe ujio wa tume huru ya uchaguzi.
Bila shaka katika wote kina Addo Shaibu pale mtaa wa Jukwani nao pia hawajabakia nyuma.
Haiyumkiniki tume hii itaundwa kwa...
Ni mambo ya hovyo sana, na yalianza awamu ya tano na awamu ya sita wanayatenda. Kwao mwenyekiti kwanza, then chama halafu masilahi ya nchi na wananchi baadae. Kimekuwa chama cha hovyo...
“Kama yupo mtu anaamini yeye ni mkubwa kuliko CCM aseme hadharani ili chama kiweze kuchukua hatua, lakini sio unakaa sehemu unajifungia unamtweza Rais wetu halafu sisi vijana wa CCM tukae kimya...
Kuna mkanganyiko mkubwa nchini katika utoaji taarifa za deni la taifa. Kuna usemi kuwa miluzi mingi huchanganya mwelekeo wa Mbwa.
Ndugai ni Spika, Balile ni Mwandishi wa Habari za Uchunguzi...
Ni mambo ya hovyo sana, na yalianza awamu ya tano na awamu ya sita wanayatenda. Kwao mwenyekiti kwanza, then chama halafu masilahi ya nchi na wananchi baadae. Kimekuwa chama cha hovyo...
Kutokana na mwenendo wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano kutoa mawazo yake na kuanza kubezwa na vijana wa CCM akiwemo Anthony Diallo wasifikri kwamba Ndugai ni mwepesi kama wanavyodhani...
Miaka ya nyuma kila ikifika January hapa nchini palikuwa na tatizo kubwa sana la uhaba wa madarasa na hii ilisababisha watoto wengi waliochaguliwa kidato cha kwanza kukosa nafasi ya kujumuika na...
Hizi nyimbo zinaanzia chipukizi.
CCM ni chama cha umma na kila mwana JF ana hati maliki kwa kununua au kulipia kadi yake kwenye shina.
Kataa wahuni; CCM ni ya watanzania.
Hakuna mwenye CCM kama...
Chuki iliyopo mtaani kuhusu Tanesco kukata umeme hovyo ni kubwa na inatisha!
Shughuli nyingi za kujikwamua kiuchumi hasa kwa vijana mfano Saloon, uchomeleaji wa vitanda, milango na madirisha...
Katika watu ambao historia ya Tanzania huwa haiwatendei haki basi Rashid Mfaume Kawawa anaongoza - ni nadra Sana kusikia historia sahihi ya Kawawa.
Mara nyingi Historia yote ya Nyerere inaweza...
Ukubwa wa deni haujaanza leo, Spika hajaanza kuwa Spika awamu hii leo, Madeni ya serikali yapo hata katika bunge la leo, malipo ya hovyo yanafanyila hata katika bunge la leo. Kwa nini Spika akemee...
Mwaka mpya 2022 Mimi nimejipanga kuua nza na kesi , na nilitamani wakali wangu awe Fatuma Karume Sasa sijui nifanyeje ebu nishaurini.
Kimsingi msingi wa kesi ni wao kula mamilioni ya fedha...
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza Dr Anthony Diallo ametoa tamko la chama mkoa kuhusiana na swala la mikopo linalojadiliwa nchi nzima kwa sasa.
Diallo amesema kukopa hakukwepeki na mikopo ilianza...
Niliumia sana nilipomsikia yule mkulima wa kiholanzi aliyewekeza mabilioni yake kwenye kilimo cha maua na kuajiri zaidi ya watanzania 1200. Wakati juzi hapa niliona gazetini kuwa serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.